Mbunge Elibariki Kingu aingia kwenye kashfa ya ngono na kuzaa nje ya ndoa

Mbunge Elibariki Kingu aingia kwenye kashfa ya ngono na kuzaa nje ya ndoa

Ubaya huko wapi hapo?
Mbona haya wanaume wengi tunayafanya sema kutokuwa maarufu ndio kunatusaidia siri zetu zisibumbuluke.

Huyo kwingu sema tatizo lake umaarufu ila Mimi sijaona kama tatizo sana kwa anayoyafanya ukizingatia bado "kijana".

Labda kama wewe ni mke wake umeumia.
Sasa Mtoto kama huyo mwenye gauni la bluu unamuachaje kwa mfano?
Heaven Sent come read this darling.
 
Kama upo kwenye ndoa kuchepuka ni jambo moja kuzaa nje ni jambo lingine kabisaaa.
Sidhani kama huyu jamaa ataendelea kuishi na mkewe kama akijua hao watoto sio wa kwake.
Hawa wake zetu wana mapungufu yao lkn kwa kweli wanatuvumilia sana.
Hata nanyi mna mapungufu na tunawavumilia sana. Cha msingi ni kutokujitoa ufahamu. Tusijisahau namna hiyo jamani.
Huu ujinga mwisho wanaoumia ni watoto.
 
ukiona dume zima linaanika mkewe na maneno ya kitoto ya kumsifia hapo lazima huyu mke ajue anachapiwa tu, self defence za kizamaniiii, huyu kingu limbukeni wa maku haya mambo kayajua baada ya kupata kura, shida ya kuolewa na wagagagigikoko mwanaume domo zege akikuoa akiwa hana kitu akipata tu anakuona wa nini maana linaamini katika cheo na fedha zake...atat...mb tu ila asitese watoto
Unadhani ni limbukeni wa K....huyu ni mhuni toka akiwa mkuu wa wilaya na kuhusu kumsifia mkewe yupo hivyo hata nje ya social media ...ila kanistua kuzaa nje itakua nicole alilengesha ndiyo maana Kingu haudumii mtoto, ngoja nimuhifadhie mafile yake maana namjua uzuri tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na nyie wanawake kujitongozesha kwa mbunge, acha awazalishe na hivi hata matumizi ya condom hamjui, soon mbunge na mkeo mtaanza kupanga foleni ya kuchukua ARV, ngono fanyeni ila Mkumbuke Condom jamani.
 
Unadhani ni limbukeni wa K....huyu ni mhuni toka akiwa mkuu wa wilaya na kuhusu kumsifia mkewe yupo hivyo hata nje ya social media ...ila kanistua kuzaa nje itakua nicole alilengesha ndiyo maana Kingu haudumii mtoto, ngoja nimuhifadhie mafile yake maana namjua uzuri tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima alijilengesha, mbunge nae hata kutumia condom hapana.
 
Mtu anachepuka lkn eti anaandika magazeti insta ya kumsifia mke wake.Kama unampenda sana muonyeshe huko huko nyumbani sio insta.
Wanawake wenyewe ndio wanaopenda kupambwa hadharani.
 
Mbunge wa jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu, amekumbwa na kashfa ya kungonoka na wasichana watatu tofauti na mmoja kuzaa naye, mdada aliyezaa naye anaitwa Nicole Franklin na pia imeelezwa kuwa ndiye aliyemuachanisha Vanessa Mdee(Vee Money) kwa Jux kisha kumnyakuwa kama mwewe na msichana mwingine Anaitwa Irene (queenlynei) ambaye ana duka la nguo na amemuweka karibu na familia yake kiasi kwamba huwa anampelekea mke wa kingu na watoto zawadi mbali mbali huku wakijinasibu kuwa wao ni kaka na dada ila hivi karibuni wakiwa huko uchinani(Irene na Kingu) snap ya Irene ilionesha watu hao wawili wakiwa kwenye mahaba mazito na wakati huo huo Kingu akiongeza speed ya kumsifia mkewe insta ili mama wa watu asistukie kama tunda lake linaliwa.

Kumekuwa na vita ya maneno kiasi cha kupelekea account ya Kingu kuwekwa private coz mashosti wa mzazi mwenza wa Kingu wamekuwa wakitoa maneno ya kumshambulia Kingu kuhusu tabia ya umalaya na kuacha kutoa huduma kwa mtoto huku akijificha kwenye kivuli cha mapenzi mazito kwa mkewe.

56157a0557191a24f9fe692c5687fa52.jpg

d7703cdd8eb0b40d002e06f49e64777b.jpg

9edba1601665820233e165647a7d7e2e.jpg

87a9a61945535b4fd70674e148219343.jpg

79e64d010b53d4dfa4ee53ca81a569e7.jpg

d30989ee2ac31f7fa5cad8e23d0c08a7.jpg
Wanaume Mungu anawaona...!kama warembo kama huyu wanatendwa sembuse sie magurubaja?
 
Abadili dini tu ili ajinafasi...hili ya Muke moja Mume moja inawadhulumu wengi ati...ni vile tu machozi ya Wanaume huishia moyoni.
 
Back
Top Bottom