Mbunge Elibariki Kingu aingia kwenye kashfa ya ngono na kuzaa nje ya ndoa

Mbunge Elibariki Kingu aingia kwenye kashfa ya ngono na kuzaa nje ya ndoa

Ili mradi mh.kingu anafanya kazi waliomtuma bungeni wananchi wake hayo mengine hatuhitaj kuyajua vilevile kama mnatumwa na mpinzan wake jimboni kwa hilo mtachemka
.
.
.
kyenekyaka nkighanile une

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya kawaida haya, wanaume ndo tumeumbwa hivi. Huu mchepuko wake mwenye mtoto hata mimi naujua. Umepangishiwa apartment Kijitonyama na ndinga juu ukapatiwa. Acheni mbunge aishi maisha yake.
 
Ubaya huko wapi hapo?
Mbona haya wanaume wengi tunayafanya sema kutokuwa maarufu ndio kunatusaidia siri zetu zisibumbuluke.

Huyo kwingu sema tatizo lake umaarufu ila Mimi sijaona kama tatizo sana kwa anayoyafanya ukizingatia bado "kijana".

Labda kama wewe ni mke wake umeumia.
Sasa Mtoto kama huyo mwenye gauni la bluu unamuachaje kwa mfano?
Mkuu, wengine bado watoto humu hawawezi kukuelewa. Ngoja wakue.
 
Kumbe wabunge bado wana tuhela hela. Ngoja mh azidi kukaza, watabaki watulie na familia zao.

sent from my Iphone 6s using JamiiForums App
 
Mbunge wa jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu, amekumbwa na kashfa ya kungonoka na wasichana watatu tofauti na mmoja kuzaa naye, mdada aliyezaa naye anaitwa Nicole Franklin na ...

d30989ee2ac31f7fa5cad8e23d0c08a7.jpg

Mkuu, embu naomba uendelee kutiririka juu ya huyu Nicole. Huwa namuonaga sana insta...
 
Mtoto huyo Irene ako sawa
Acha tu mbunge nae afaid

Triple A
 
huyu mbunge anakula vitu vitamu mno
golddigger
Any woman whose primary interest in a relationship is material benefits. A woman who cares more about a man's bank account than she does about the man.

Kwa hiyo tambua hata yeye kampeni za 2020 lazima aje akusanye michango na harambee, mana watakua wamezimaliza
 
Acha umbea! Mkewe mbona hajalalamika? Unamtaka mbunge? Na yy ni binadam rijali ana hisia za kimapenzi, haijalishi cheo chake. Fanya kazi acha majungu mwache mbunge ajilie vitamu.
 
Assume mmoja wa ma golddigger wake(alivyo wa refer yeye) ameathirika na AIDS, jamii itakua wapi!?
Huo ni upande wa pili wa shilingi, inshuu ilikuwa kuona tabia ya kuwa na wake wengi ni upotofu, ngono. Labda tumlaumu kwa kutowaweka ndani labda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom