Mbunge Elibariki Kingu aingia kwenye kashfa ya ngono na kuzaa nje ya ndoa

ukiona dume zima linaanika mkewe na maneno ya kitoto ya kumsifia hapo lazima huyu mke ajue anachapiwa tu, self defence za kizamaniiii, huyu kingu limbukeni wa maku haya mambo kayajua baada ya kupata kura, shida ya kuolewa na wagagagigikoko mwanaume domo zege akikuoa akiwa hana kitu akipata tu anakuona wa nini maana linaamini katika cheo na fedha zake...atat...mb tu ila asitese watoto
 
Kama upo kwenye ndoa kuchepuka ni jambo moja kuzaa nje ni jambo lingine kabisaaa.
Sidhani kama huyu jamaa ataendelea kuishi na mkewe kama akijua hao watoto sio wa kwake.
Hawa wake zetu wana mapungufu yao lkn kwa kweli wanatuvumilia sana.
 
Mwacheni mbunge ale maisha bhana. Wabongo kwa udaku mmezidi
 
ukiona dume zima linaanika mkewe na maneno ya kitoto ya kumsifia hapo lazima huyu mke ajue anachapiwa tu, self defence za kizamaniiii, huyu kingu limbukeni wa maku haya mambo kayajua baada ya kupata kura, shida ya kuolewa na wagagagigikoko mwanaume domo zege akikuoa akiwa hana kitu akipata tu anakuona wa nini maana linaamini katika cheo na fedha zake...atat...mb tu ila asitese watoto
Umeongea yote. Kinachomsumbua huyo Kingu ni ushamba, period.
 
Mtu anachepuka lkn eti anaandika magazeti insta ya kumsifia mke wake.Kama unampenda sana muonyeshe huko huko nyumbani sio insta.
Yani huyu jamaa kama mtoto!! Kutwa kushindia instagram, kuandika upupu. [emoji28]
 
ukiona dume zima linaanika mkewe na maneno ya kitoto ya kumsifia hapo lazima huyu mke ajue anachapiwa tu, self defence za kizamaniiii, huyu kingu limbukeni wa maku haya mambo kayajua baada ya kupata kura, shida ya kuolewa na wagagagigikoko mwanaume domo zege akikuoa akiwa hana kitu akipata tu anakuona wa nini maana linaamini katika cheo na fedha zake...atat...mb tu ila asitese watoto
KWELI KABISA MKUU
 
Ujinga mtupu,
Hii ishu binafsi ya mtu baba,
Anza kwa kumuuliza mzazi wako ishu za hivi ndo uje kuongelea za wenzako,
Usikite mzazi wko ni zaidi ya huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alivyozaa na mume wa mwenzie hakujua kama mkewe itamuuma? Amkatae hivo hivo akome, mume wa mtu mtamu ila usimzaliee...kwake akimbie mikojo na kelele za watoto, na kwako tena yaleyale atapeperuka tu
 
Wewe mleta mada hebu toa maoni yako hapa!
Kama wewe Ni mwanaume ungefanyaje??
 
Attachments

  • IMG_3637.PNG
    IMG_3637.PNG
    224.3 KB · Views: 74
Huyo Mbunge ni fundi kweli, sio mtu wa kujinyima vitu vizuri kabisa, inaonekana ni mtaalam wa kuchagua visu vya ukweli, hata mkewe ni super
 
Hapa kale kautafiti kwa Mr musukuma kanaonekana .
Yaani, masharti ya waganga.

Haina maana mtu mmoja kuwa Kama Dume la mbuzi kukimbiza kila mwanamke anayeongea naye au kumuona mahala popote.
 
Back
Top Bottom