Mbunge Elibariki Kingu aingia kwenye kashfa ya ngono na kuzaa nje ya ndoa

Habari ya kipimbi kwel kwel ila naaamin mleta mada atakua KE.
 
Upumbavu kweli, unaacha kumjali mkeo na wananchi wa jimbo lako unamjali kimada na kumnunulia range...upumbavu ulioje halaf mtu kama huyu unakaa zaidi ya dakika 10 unamsikiliza anachoongea kuhusu hii nchi ana uchungu gani huyu mpuuzi zaidi ya kuwaza K ya kimada wake badala ya mkewe...bora umsikilize nabii tito
 
Inashangaza kuona comments za few of women here wanasapoti UMALAYA wa huyu dogo kingu sababu tu ni "mwepesi" wa kutoa range rover na pesa...pesa.ambazo amekopa mabenki tofauti na ana madeni karibia mabenki yote ya kiserikali
 
Afadhali umenifungua macho. Maana niliona post ya Nicole insta analalamika kuwa wanamsema vibaya, na mzazi mwenzie kuacha kutunza mtoto na sikueelewa. Japo baadae aliifuta ile post. Sikufahamu kuwa mheshimiwa aliyekua anamlalamikia ndio huyu Kingu. Duh jamaa yuko vizuri kama kawagonga mademu wote hawa.
 
Haya mambo ya ngono wala isiwe issue ya kisiasa. Hata Clinton na Mandela pamoja na heshima zao zote hii makitu haikuwaaacha salama. Saa hizi hata kanisa mama Katoliki lipo kwenye kashfa kubwa kwa watawa wake kwa hii makitu
mkuu umesahau hata mwenyekit wa makamanda pia anahii kashfa
 
Inashangaza kuona comments za few of women here wanasapoti UMALAYA wa huyu dogo kingu sababu tu ni "mwepesi" wa kutoa range rover na pesa...pesa.ambazo amekopa mabenki tofauti na ana madeni karibia mabenki yote ya kiserikali
Askofu mwenyewe alipokea hela ya escrow sisi ni nani tuulize hata source ya hela? Mkopo si atalipa jamani?
 
Mh.
Jitihada za kurudi mjengoni zinatatizwa na uwepo wa corona
 
Afrika kuzaa nje ya ndoa ni kashfa?
Mwanaume ambae hajawahi kuwa na kimada na awe wakwanza kumrushia jiwe mbunge.
 
Nasikitika sana kuona mtu ana mke ama mume afu anakuwa mzinzi tena.
Hakuna mume kwa mke mmoja hata siku moja. Mwanaume sawa na madume wa wanyama, ndege na wadudu. Huwa wana mbegu nyingi sana za Uzazi asizoziweza mke mmoja. Utahitaji dume moja la ng,ombe, mbuzi, nyati, Simba, jogoo kwa majike wengi. Majike siku zote ni wengi kuliko madume. Kama mkewe amekasirika hebu awaonee huruma wanawake wenzake ambao hawakubahatika kuolewa au kupata watoto. Kama mbunge ana nguvu za mwili na kifedha ni afadhali azitawanye hizo nguvu kuokoa wanawake wengine. Mke aliyechukia aondoke akaone ubaya wa kukosa mume mwenye uwezo wake.

Hii sio habari hata siku moja, Kama
 
Elly kingu bado anatafuna mzigo hii au kaacha
 
Acha awatungue tu

Safi sana mb

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…