Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna shida kumbe hawasomi ni watu Na biashara zao endelea mbunge
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu umesahau hata mwenyekit wa makamanda pia anahii kashfaHaya mambo ya ngono wala isiwe issue ya kisiasa. Hata Clinton na Mandela pamoja na heshima zao zote hii makitu haikuwaaacha salama. Saa hizi hata kanisa mama Katoliki lipo kwenye kashfa kubwa kwa watawa wake kwa hii makitu
Askofu mwenyewe alipokea hela ya escrow sisi ni nani tuulize hata source ya hela? Mkopo si atalipa jamani?Inashangaza kuona comments za few of women here wanasapoti UMALAYA wa huyu dogo kingu sababu tu ni "mwepesi" wa kutoa range rover na pesa...pesa.ambazo amekopa mabenki tofauti na ana madeni karibia mabenki yote ya kiserikali
Mwanaume wa shoka huyo mh.
Afrika kuzaa nje ya ndoa ni kashfa?Mbunge wa jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu, amekumbwa na kashfa ya kungonoka na wasichana watatu tofauti na mmoja kuzaa naye, mdada aliyezaa naye anaitwa Nicole Franklin na pia imeelezwa kuwa ndiye aliyemuachanisha Vanessa Mdee(Vee Money) kwa Jux kisha kumnyakuwa kama mwewe na msichana mwingine Anaitwa Irene (queenlynei) ambaye ana duka la nguo na amemuweka karibu na familia yake kiasi kwamba huwa anampelekea mke wa kingu na watoto zawadi mbali mbali huku wakijinasibu kuwa wao ni kaka na dada ila hivi karibuni wakiwa huko uchinani(Irene na Kingu) snap ya Irene ilionesha watu hao wawili wakiwa kwenye mahaba mazito na wakati huo huo Kingu akiongeza speed ya kumsifia mkewe insta ili mama wa watu asistukie kama tunda lake linaliwa.
Kumekuwa na vita ya maneno kiasi cha kupelekea account ya Kingu kuwekwa private coz mashosti wa mzazi mwenza wa Kingu wamekuwa wakitoa maneno ya kumshambulia Kingu kuhusu tabia ya umalaya na kuacha kutoa huduma kwa mtoto huku akijificha kwenye kivuli cha mapenzi mazito kwa mkewe.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hakuna mume kwa mke mmoja hata siku moja. Mwanaume sawa na madume wa wanyama, ndege na wadudu. Huwa wana mbegu nyingi sana za Uzazi asizoziweza mke mmoja. Utahitaji dume moja la ng,ombe, mbuzi, nyati, Simba, jogoo kwa majike wengi. Majike siku zote ni wengi kuliko madume. Kama mkewe amekasirika hebu awaonee huruma wanawake wenzake ambao hawakubahatika kuolewa au kupata watoto. Kama mbunge ana nguvu za mwili na kifedha ni afadhali azitawanye hizo nguvu kuokoa wanawake wengine. Mke aliyechukia aondoke akaone ubaya wa kukosa mume mwenye uwezo wake.Nasikitika sana kuona mtu ana mke ama mume afu anakuwa mzinzi tena.
Elly kingu bado anatafuna mzigo hii au kaachaMbunge wa jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu, amekumbwa na kashfa ya kungonoka na wasichana watatu tofauti na mmoja kuzaa naye, mdada aliyezaa naye anaitwa Nicole Franklin na pia imeelezwa kuwa ndiye aliyemuachanisha Vanessa Mdee(Vee Money) kwa Jux kisha kumnyakuwa kama mwewe na msichana mwingine Anaitwa Irene (queenlynei) ambaye ana duka la nguo na amemuweka karibu na familia yake kiasi kwamba huwa anampelekea mke wa kingu na watoto zawadi mbali mbali huku wakijinasibu kuwa wao ni kaka na dada ila hivi karibuni wakiwa huko uchinani(Irene na Kingu) snap ya Irene ilionesha watu hao wawili wakiwa kwenye mahaba mazito na wakati huo huo Kingu akiongeza speed ya kumsifia mkewe insta ili mama wa watu asistukie kama tunda lake linaliwa.
Kumekuwa na vita ya maneno kiasi cha kupelekea account ya Kingu kuwekwa private coz mashosti wa mzazi mwenza wa Kingu wamekuwa wakitoa maneno ya kumshambulia Kingu kuhusu tabia ya umalaya na kuacha kutoa huduma kwa mtoto huku akijificha kwenye kivuli cha mapenzi mazito kwa mkewe.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Imeisha hiyo
Hongera zakehuyu mbunge anakula vitu vitamu mno