Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,183
- 2,100
hahaha"Udhalilishaji mtandaoni unafanywa na hao watu wa nje tunasema, lakini zinasambazwa na kwenye mitandao ya Kitanzania, tuko wapi? Kwa nini tunaruhusu hii? Ni udhalilishaji na unaweza kuona kwamba ni udhalilishaji kwa sababu Mama, yaani Rais wetu ni mwanamke," alieleza Mbunge Esther Matiko.
"Lazima tukatae, tukiendelea kujua kwamba sisi sote ni Watoto wa mama Afrika Mashariki, mamlaka za nchi ya Tanzania na mamlaka za nchi jirani, ambapo nimeona, sijaona nchi jirani mamlaka zake zikikemea hili. Mshirikiane, mambo ya ndani ya hapa idara ya mawasiliano na kule Kenya, tuwakamate hawa Gen-Z wa kule
Credits: The Chanzo
Inashangaza snBunge litampa kazi doto magari, atakabilina nao.....hilo tumehakikishiwa
Dah! Kupata vichekesho hivi unabonyeza nyota ngapi?🤣🤣Bunge litampa kazi doto magari, atakabilina nao.....hilo tumehakikishiwa
Wakenya wamesema Watz wengi hawajui hata Katiba yao kwa maana hiyo hawajui hata haki zao!!Vipi na kuhusu utekaji, mauaji, dhuluma, uonevu, nk. Tukemee, au tunyamaze?
Wabunge wengi wa VITI MAALUMU wanaingia kupitia kwa mlango wa nyuma......This is Covid-19!!! Wako tayari kuhonga chochote walicho nacho bora tu wapate Vitu Maalumu. Pambaf!!!Huyu kipindi kile cha mauaji ya Nyamongo alikuwa kimya.. Leo pameguswa kwenye ulaji kageuka chawa sijui Mkurya wa wapi huyu