LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
Mke wa Katibu mkuu wa Ubwabwa Party
Mke wa Katibu mkuu wa Ubwabwa Party
Mke wa Katibu mkuu wa Ubwabwa Party
Hivi ni kweli wabunge wetu wameacha kujadili mambo yetu ya msingi? Wameahau kujadili 4R za mheshimiwa rais na kuanza kujadili watu walioharibikiwa ubongo? Wale vijana wanaotukana kila mtu ni wa kuwajadili kweli?"Udhalilishaji mtandaoni unafanywa na hao watu wa nje tunasema, lakini zinasambazwa na kwenye mitandao ya Kitanzania, tuko wapi? Kwa nini tunaruhusu hii? Ni udhalilishaji na unaweza kuona kwamba ni udhalilishaji kwa sababu Mama, yaani Rais wetu ni mwanamke," alieleza Mbunge Esther Matiko.
"Lazima tukatae, tukiendelea kujua kwamba sisi sote ni Watoto wa mama Afrika Mashariki, mamlaka za nchi ya Tanzania na mamlaka za nchi jirani, ambapo nimeona, sijaona nchi jirani mamlaka zake zikikemea hili. Mshirikiane, mambo ya ndani ya hapa idara ya mawasiliano na kule Kenya, tuwakamate hawa Gen-Z wa kule
Credits: The Chanzo
View attachment 3346718
Tanzania inaweza kukubali....nchi ya Wadanganyika hii!! Mtakumbuka Wasiojulikana walivuka mipaka wakaingia Kenya kumkamata Maria Sarungi Tetsai?? Ilikuwa kdogo tu wafaulu lakn akawazdi ujanja!!!Na nchi gani itaruhusu vijana wake wachukuliwe?
Kwa Wabunge makini Waziri Bashungwa angeulizwa haya:Hivi ni kweli wabunge wetu wameacha kujadili mambo yetu ya msingi? Wameahau kujadili 4R za mheshimiwa rais na kuanza kujadili watu walioharibikiwa ubongo? Wale vijana wanaotukana kila mtu ni wa kuwajadili kweli?
Njaaa mbaya sana. Hivi wanasiasa huwa hawawezi kuacha asali ya siasa na kujikita kwenye shughuli nyingine?"Udhalilishaji mtandaoni unafanywa na hao watu wa nje tunasema, lakini zinasambazwa na kwenye mitandao ya Kitanzania, tuko wapi? Kwa nini tunaruhusu hii? Ni udhalilishaji na unaweza kuona kwamba ni udhalilishaji kwa sababu Mama, yaani Rais wetu ni mwanamke," alieleza Mbunge Esther Matiko.
"Lazima tukatae, tukiendelea kujua kwamba sisi sote ni Watoto wa mama Afrika Mashariki, mamlaka za nchi ya Tanzania na mamlaka za nchi jirani, ambapo nimeona, sijaona nchi jirani mamlaka zake zikikemea hili. Mshirikiane, mambo ya ndani ya hapa idara ya mawasiliano na kule Kenya, tuwakamate hawa Gen-Z wa kule
Credits: The Chanzo
View attachment 3346718
Tunatunzq video atakuja kujibu mauaji utekaj ubakaji na udharirishaj umeafanywa alikuwa haoni ? Anahis Samia atatawala milele"Udhalilishaji mtandaoni unafanywa na hao watu wa nje tunasema, lakini zinasambazwa na kwenye mitandao ya Kitanzania, tuko wapi? Kwa nini tunaruhusu hii? Ni udhalilishaji na unaweza kuona kwamba ni udhalilishaji kwa sababu Mama, yaani Rais wetu ni mwanamke," alieleza Mbunge Esther Matiko.
"Lazima tukatae, tukiendelea kujua kwamba sisi sote ni Watoto wa mama Afrika Mashariki, mamlaka za nchi ya Tanzania na mamlaka za nchi jirani, ambapo nimeona, sijaona nchi jirani mamlaka zake zikikemea hili. Mshirikiane, mambo ya ndani ya hapa idara ya mawasiliano na kule Kenya, tuwakamate hawa Gen-Z wa kule
Credits: The Chanzo
View attachment 3346718
Tutawapisha DarisalamaGen Z wapo million 9 watawekwa wapi
Watoe wapi? Mama mwenyewe baada tu ya kulamba shavu safari yake ya kwanza nje ya nchi alimtembelea Museven na anachokifanya amejifunza kule.Hivi uganda hawana Gen Z?
Mtu wa kwanza kukamatwa alipaswa kuwa yeye Matiko kwa kupokea pesa za watz na kujifanya mbunge kinyume cha sheria."Udhalilishaji mtandaoni unafanywa na hao watu wa nje tunasema, lakini zinasambazwa na kwenye mitandao ya Kitanzania, tuko wapi? Kwa nini tunaruhusu hii? Ni udhalilishaji na unaweza kuona kwamba ni udhalilishaji kwa sababu Mama, yaani Rais wetu ni mwanamke," alieleza Mbunge Esther Matiko.
"Lazima tukatae, tukiendelea kujua kwamba sisi sote ni Watoto wa mama Afrika Mashariki, mamlaka za nchi ya Tanzania na mamlaka za nchi jirani, ambapo nimeona, sijaona nchi jirani mamlaka zake zikikemea hili. Mshirikiane, mambo ya ndani ya hapa idara ya mawasiliano na kule Kenya, tuwakamate hawa Gen-Z wa kule
Credits: The Chanzo
View attachment 3346718
Ila bongo"Udhalilishaji mtandaoni unafanywa na hao watu wa nje tunasema, lakini zinasambazwa na kwenye mitandao ya Kitanzania, tuko wapi? Kwa nini tunaruhusu hii? Ni udhalilishaji na unaweza kuona kwamba ni udhalilishaji kwa sababu Mama, yaani Rais wetu ni mwanamke," alieleza Mbunge Esther Matiko.
"Lazima tukatae, tukiendelea kujua kwamba sisi sote ni Watoto wa mama Afrika Mashariki, mamlaka za nchi ya Tanzania na mamlaka za nchi jirani, ambapo nimeona, sijaona nchi jirani mamlaka zake zikikemea hili. Mshirikiane, mambo ya ndani ya hapa idara ya mawasiliano na kule Kenya, tuwakamate hawa Gen-Z wa kule
Credits: The Chanzo
View attachment 3346718
Nimedharau Bunge kwa kauli hiiBunge litampa kazi doto magari, atakabilina nao.....hilo tumehakikishiwa