Mbunge Esther Matiko apendekeza Gen-Z wa Kenya Wakamatwe

Mbunge Esther Matiko apendekeza Gen-Z wa Kenya Wakamatwe

Kuteka na kuua hawakemei bungeni ila hilo tu ndilo limewatoa kukemea!!
 
Njaaa mbaya sana. Hivi wanasiasa huwa hawawezi kuacha asali ya siasa na kujikita kwenye shughuli nyingine?
Siasa tamu jamani asikwambie mtu!!!
1. Mshahara milioni 18 kwa mwezi.
2. Posho kikao 500,000/= kwa siku.
3. Mfuko wa Jimbo milioni........
4. Posho ya mafuta lita.......kila siku.
5. Posho Mshahara wa wasaidizi wa Mbunge......
6. Posho kikao cha Madiwani kwa siku.....
7. Posho ya kujikimu safarini kwa siku......
8. Mafao baada ya Bunge kuvunjwa milioni 300~500
Mshahara, mafao, posho na marupurupu yote haya yanahitaji kiwango cha elimu ya DARASA LA 7 TU.

Na ndiyo maana Wabunge wote wamekuwa mafisadi,matapeli, wezi na wanyonyaji wakubwa. Wako tayari kuona Watz wanaopinga CCM wana uawa wote ili CCM iendelee kutawala na kuwabeba kwa KURA ZA WIZI.
 
Huyu na huyo hawara yake mwalimu, wote akili zao sawa. Anafikiria Wakenya ni kama huyo mumemwe anayemletea watoto wa nje ya ndoa, yupo hajui kinachoingia wala kinachotoka. Hebu Gen Z fanyieni kazi hizi nguruwe zinazokula bure huko Bungeni.
 
Back
Top Bottom