kitemaster
JF-Expert Member
- Jun 20, 2024
- 208
- 204
Nani akemee wakati mshawaita wavuruga amani"Udhalilishaji mtandaoni unafanywa na hao watu wa nje tunasema, lakini zinasambazwa na kwenye mitandao ya Kitanzania, tuko wapi? Kwa nini tunaruhusu hii? Ni udhalilishaji na unaweza kuona kwamba ni udhalilishaji kwa sababu Mama, yaani Rais wetu ni mwanamke," alieleza Mbunge Esther Matiko.
"Lazima tukatae, tukiendelea kujua kwamba sisi sote ni Watoto wa mama Afrika Mashariki, mamlaka za nchi ya Tanzania na mamlaka za nchi jirani, ambapo nimeona, sijaona nchi jirani mamlaka zake zikikemea hili. Mshirikiane, mambo ya ndani ya hapa idara ya mawasiliano na kule Kenya, tuwakamate hawa Gen-Z wa kule
Credits: The Chanzo
View attachment 3346718
Wameanza kujitokeza
Wakenya wamesema Watz wengi hawajui hata Katiba yao kwa maana hiyo hawajui hata haki zao!!
Jitu kama Mbunge wa kule Geita Msukuma Kasheku DARASA LA 7 akiongea Bungeni anaonekana ana BUSARA kuliko hata MAPROFESSORS what do you expect!!??
"Amebanwa na supana...." in Bashite's own words.View attachment 3346721
Jiraaniiiiiiiiii, kumbe wanaumia 🤣🤣🤣🤣
Mbunge anaongea kwenye microphone na anapiga makelele haswa. Kama kweli walimfanyia Agather Atuhaire vitu alivyosema wamemfanyia, wow. Kuumiza roho na mwili wa binadamu mwenzako kwasababu ya maugomvi ya kisiasa. Nchi yetu ina matatizo mengi lakini huwa nina imani nayo sana. Nilivyosoma Agather alivyosema walichomfanyia nililia na kusikia kichefuchefu na kwa mara ya kwanza nilisikia aibu sana sana sana kuwa nchi yangu tunaongelewa sasa kuwatunaukatili wa namna hiyo.Kwani yule Mganda (Agata) akiyetekwa na kufanyiwa vitendo vya kihuni alikuwa mwanaume?
Labda watamtuma Mulilo.Gen Z wapo million 9 watawekwa wapi
Huwa covid 19 na huyu mchepuko for aliyezaa nje ya ndoa na mme wa mtu Salum mwalimu kashindwa kuolewa ataweza kuongoza chochote ? Hawa vilaza badala ya kuikataza Serikali kuacha matendo haramu ya kishetani kuepuka kesi za uongo uonevu wa Polisiccm wanachochea chuki kwenda kukamata wakenya kwa makosa yaliyosababishwa na manyanyaso ya Polisiccm kwa chadema"Udhalilishaji mtandaoni unafanywa na hao watu wa nje tunasema, lakini zinasambazwa na kwenye mitandao ya Kitanzania, tuko wapi? Kwa nini tunaruhusu hii? Ni udhalilishaji na unaweza kuona kwamba ni udhalilishaji kwa sababu Mama, yaani Rais wetu ni mwanamke," alieleza Mbunge Esther Matiko.
"Lazima tukatae, tukiendelea kujua kwamba sisi sote ni Watoto wa mama Afrika Mashariki, mamlaka za nchi ya Tanzania na mamlaka za nchi jirani, ambapo nimeona, sijaona nchi jirani mamlaka zake zikikemea hili. Mshirikiane, mambo ya ndani ya hapa idara ya mawasiliano na kule Kenya, tuwakamate hawa Gen-Z wa kule
Credits: The Chanzo
View attachment 3346718
Kipindi hiki tutawashuhudia mashetani wengi kama huyo mbunge haramu COVID 19 aliyejitoa fahamu azudishe chuki na kenya badala ya bunini mbinu za kukataa vitendo haramu vya kishetani toka PolisiccmAnaongea kama vile kakatwa kichwa halafu kuna wananchi wanategemea apigane shida zao humo bungeni... Mindset za viongozi wengi wanaona wao pekee ndio wanastahili kuishi maisha mazuri na yenye amani, na hawajali kuhusu wananchi.
Huyo mchepuko wa Salum mwalimu angojee majibu kwani mda huu wanajipanga kumvua nguo zote tokea akifanya mapenzi na mbowe hadi kuhamia kwa Salum mwalimu na mapungufu yake yoteContents zimewafikia
WAkenya kwenye matusi 🫳
Amani inavurugwa na Busungwa kuwatuma Polisiccm kuwabambikia kesi za uongo chademaNani akemee wakati mshawaita wavuruga amani
kutokujua sheria tu hana lolote"Udhalilishaji mtandaoni unafanywa na hao watu wa nje tunasema, lakini zinasambazwa na kwenye mitandao ya Kitanzania, tuko wapi? Kwa nini tunaruhusu hii? Ni udhalilishaji na unaweza kuona kwamba ni udhalilishaji kwa sababu Mama, yaani Rais wetu ni mwanamke," alieleza Mbunge Esther Matiko.
"Lazima tukatae, tukiendelea kujua kwamba sisi sote ni Watoto wa mama Afrika Mashariki, mamlaka za nchi ya Tanzania na mamlaka za nchi jirani, ambapo nimeona, sijaona nchi jirani mamlaka zake zikikemea hili. Mshirikiane, mambo ya ndani ya hapa idara ya mawasiliano na kule Kenya, tuwakamate hawa Gen-Z wa kule
Credits: The Chanzo
View attachment 3346718
Ndio maana alitimuliwa chadema kwa aibu"Udhalilishaji mtandaoni unafanywa na hao watu wa nje tunasema, lakini zinasambazwa na kwenye mitandao ya Kitanzania, tuko wapi? Kwa nini tunaruhusu hii? Ni udhalilishaji na unaweza kuona kwamba ni udhalilishaji kwa sababu Mama, yaani Rais wetu ni mwanamke," alieleza Mbunge Esther Matiko.
"Lazima tukatae, tukiendelea kujua kwamba sisi sote ni Watoto wa mama Afrika Mashariki, mamlaka za nchi ya Tanzania na mamlaka za nchi jirani, ambapo nimeona, sijaona nchi jirani mamlaka zake zikikemea hili. Mshirikiane, mambo ya ndani ya hapa idara ya mawasiliano na kule Kenya, tuwakamate hawa Gen-Z wa kule
Credits: The Chanzo
View attachment 3346718
viti maalum vifutwe tu sioni tija kwa taifa zaidi ya kubebana tu na kupoteza hela ambazo zingetumika kwenye miradi ya maana, bora hata hiyo hela tujenge flyover ya dar hadi bagamoyo mji upanuke na foleni zipungue"Udhalilishaji mtandaoni unafanywa na hao watu wa nje tunasema, lakini zinasambazwa na kwenye mitandao ya Kitanzania, tuko wapi? Kwa nini tunaruhusu hii? Ni udhalilishaji na unaweza kuona kwamba ni udhalilishaji kwa sababu Mama, yaani Rais wetu ni mwanamke," alieleza Mbunge Esther Matiko.
"Lazima tukatae, tukiendelea kujua kwamba sisi sote ni Watoto wa mama Afrika Mashariki, mamlaka za nchi ya Tanzania na mamlaka za nchi jirani, ambapo nimeona, sijaona nchi jirani mamlaka zake zikikemea hili. Mshirikiane, mambo ya ndani ya hapa idara ya mawasiliano na kule Kenya, tuwakamate hawa Gen-Z wa kule
Credits: The Chanzo
View attachment 3346718
Watanzania inawezekana tunaishi karne nyuma ya Kenya. Uende ukakamate G-Z Kenya? Kwa sheriA gani ? Freedom of speech?"Udhalilishaji mtandaoni unafanywa na hao watu wa nje tunasema, lakini zinasambazwa na kwenye mitandao ya Kitanzania, tuko wapi? Kwa nini tunaruhusu hii? Ni udhalilishaji na unaweza kuona kwamba ni udhalilishaji kwa sababu Mama, yaani Rais wetu ni mwanamke," alieleza Mbunge Esther Matiko.
"Lazima tukatae, tukiendelea kujua kwamba sisi sote ni Watoto wa mama Afrika Mashariki, mamlaka za nchi ya Tanzania na mamlaka za nchi jirani, ambapo nimeona, sijaona nchi jirani mamlaka zake zikikemea hili. Mshirikiane, mambo ya ndani ya hapa idara ya mawasiliano na kule Kenya, tuwakamate hawa Gen-Z wa kule
Credits: The Chanzo
View attachment 3346718
Unawakata Gen Z ,then unawakubali akina nani???"Udhalilishaji mtandaoni unafanywa na hao watu wa nje tunasema, lakini zinasambazwa na kwenye mitandao ya Kitanzania, tuko wapi? Kwa nini tunaruhusu hii? Ni udhalilishaji na unaweza kuona kwamba ni udhalilishaji kwa sababu Mama, yaani Rais wetu ni mwanamke," alieleza Mbunge Esther Matiko.
"Lazima tukatae, tukiendelea kujua kwamba sisi sote ni Watoto wa mama Afrika Mashariki, mamlaka za nchi ya Tanzania na mamlaka za nchi jirani, ambapo nimeona, sijaona nchi jirani mamlaka zake zikikemea hili. Mshirikiane, mambo ya ndani ya hapa idara ya mawasiliano na kule Kenya, tuwakamate hawa Gen-Z wa kule
Credits: The Chanzo
View attachment 3346718
Nina hakika enzi za Bunge la Wabunge wa CHADEMA watu wangeshika SHILINGI ya Bashungwa Waziri boya kabisa huyu. Wizara ya Mambo ya Ndani limejaa Mapolisi majambazi, matekaji na YANATEKA WATZ KUWAUA NA KUWAPOTEZA! Watz zaidi ya 80 wamepotea na kuuawa halafu Machawa na Mapoyoyo ya CCM yanaongelea Wanaharakati wa Kenya....!!?? Nonsense!Wapo wengi bungeni kama hao
wamepitisha leo bajet kwa wizara ile ya wasiojulikana
Huyo hana jipya ndio walewale watekaji
Na nchi gani itaruhusu vijana wake wachukuliwe?Gen Z wapo million 9 watawekwa wapi