Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Du!...Cjui huyu anafikiria kutumia niniWakuu!
Hivi hawa wabunge wa kilala wa kiamka wanawaza tu wananchi wawe wanakatwa asilimia au tozo kuongezeka wao mbona awasemi wakatwe hizo posho zao au mishaara?
Mbunge Francis Mtinga amesema kila mwananchi wa Kitanzania anaye nunua vocha ya shilingi 1000 kwa siku akatwe asilimia 10 ambayo ni sawa na shilingi 100 ili ikasaidie kwenye mfuko wa bima kwa wato wasio na uwezo ili kila Mtanzania apate bima ya Taifa.
Amesema kutokana na Tanzania kuwa na idadi kubwa ya watumiaji wa simu za mkononi amesema hiyo ni fursa kwa Watanzania ambao hawana bima ya afya.
Soma Pia: Mbunge Santiel Kirumba: Kila laini ikatwe Tsh. 50 tujenge barabara
“Mimi napenda tukitumie chanzo hiki Watanzania mnielewe, tuchukulie kila Mtanzania anaponunua vocha ya Sh1,000 kwa siku atuchangie asilimia 10 tu ambayo ni Sh100 ambapo ukizidisha na laini zilizo hai milioni 90.4 nitapata kwa siku Sh9.4 bilioni nikipeleka kwa mwezi nitapata Sh271.2 bilioni na nikipeleka kwa mwaka nitapata S3.2 trilioni, zitakwenda kusaidia kwenye bima hiyo hata kwa wasiokuwa na uwezo
Hili bunge ni most of his failed plan, wabunge gani hawa?JPM alitufanyia uovu mkubwa sana watanzania.
Duh! Hadi wewe unawashangaa hao wabunge? Au simu yako leo imeporwa?JPM alitufanyia uovu mkubwa sana watanzania.
Tena vibwengwo wanamkata 😹Anakatwa, waanze kukatwa kodi hawa wanavimbiwa vibaya.
Je kwa wale ambao hawana simuWakuu!
Hivi hawa wabunge wa kilala wa kiamka wanawaza tu wananchi wawe wanakatwa asilimia au tozo kuongezeka wao mbona awasemi wakatwe hizo posho zao au mishaara?
Mbunge Francis Mtinga amesema kila mwananchi wa Kitanzania anaye nunua vocha ya shilingi 1000 kwa siku akatwe asilimia 10 ambayo ni sawa na shilingi 100 ili ikasaidie kwenye mfuko wa bima kwa wato wasio na uwezo ili kila Mtanzania apate bima ya Taifa.
Amesema kutokana na Tanzania kuwa na idadi kubwa ya watumiaji wa simu za mkononi amesema hiyo ni fursa kwa Watanzania ambao hawana bima ya afya.
Soma Pia: Mbunge Santiel Kirumba: Kila laini ikatwe Tsh. 50 tujenge barabara
“Mimi napenda tukitumie chanzo hiki Watanzania mnielewe, tuchukulie kila Mtanzania anaponunua vocha ya Sh1,000 kwa siku atuchangie asilimia 10 tu ambayo ni Sh100 ambapo ukizidisha na laini zilizo hai milioni 90.4 nitapata kwa siku Sh9.4 bilioni nikipeleka kwa mwezi nitapata Sh271.2 bilioni na nikipeleka kwa mwaka nitapata S3.2 trilioni, zitakwenda kusaidia kwenye bima hiyo hata kwa wasiokuwa na uwezo
ndo maana walitakiwa wapimwe ushoga hawaWakuu!