Mbunge Francis Mtinga: Watendaji wa Kata Waajiriwe na TAMISEMI, si Utumishi

Mbunge Francis Mtinga: Watendaji wa Kata Waajiriwe na TAMISEMI, si Utumishi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 9, leo Aprili 18, 2024.



Mbunge Francis Mtinga: Watendaji wa Kata Waajiriwe na TAMISEMI, si Utumishi.
Amesema Utaratibu wa Utumishi kuajiri Watumishi Kada ya Mtendaji wa Kata umesababisha ufanisi umekuwa mdogo na kushauri ajira hizo zirejeshwe TAMISEMI ili Watumishi waombe katika Halmashauri.

Pia soma: Mbunge Francis Mtinga: Watendaji wa Kata Waajiriwe na TAMISEMI, sio Utumishi

Babu Tale: Jimboni kwangu hakuna Mochwari
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI amesema Jimbo hilo lina Vituo vya Afya katika Kata za Mkuyuni, Mikese na Mkulazi lakini havina vyumba vya kuhifadhia maiti hivyo kusababisha maiti kwenda kuhifadhiwa Morogoro Mjini

Pia soma:
Babu Tale: Jimboni kwangu hakuna Mochwari

Mbunge Kishoa aitaja tena Mkalama Bungeni, ahoji idadi ya watumishi kada ya Afya, Serikali kuipa kipaumbele mwaka huu

Bunge siyo sehemu ya kumwagiana sifa wala uwanja wa kampeni, mnatia aibu!
 
Back
Top Bottom