Mbunge gani harudi 2025?

Ndugu yangu Fred 😂 wengi sana
 
Kwa mkoa wa Ruvuma:
1. VITA RASHID MFAUME KAWAWA
2. DAMAS NDUMBARO
3. STELLA MANYANYA
4. MPAKATE
 
Mbunge wa ubungo, mbunge wa kibamba
 
Huyu labda akatwe na NEC ya CCM but ukiona kapita kwenye kura za maoni jua ameshaenda Dodoma huyu
Hana jipya kwake ni ngome ya CHADEMA, mara mbili amepita kimagumashi.

Atakeyegombea sasa ni Mwamba, na native wa Jimbo la Mtama, Steve Kamiliuls Membe Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…