Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

Hadi sasa ubaguzi kenya upo.
We kama mjaluo mpeleke mkisii kwenu uone kama hajafungiwa nje kwa two factors ;
1)Kaja bila appointment .
2)Sio mjaluo mwenzenu bali mkisii.
Hyo pia basi ni 2007..inamaana na wewe unaleta habari za kale...

Halafu katika ubaguzi wa vyama hko kwenu mpka bungeni...si lazima ukubali..ila huo ndo ukwel...
Nyie hko mnabaguana kisiasa...
 
Halafu kaka mbona huyo jamaa kama mnywa gongo?!
Au katoka usingizini?!
Kwa food security hapa East and Central Africa hakuna wa kuizidi Tanzania.
We hiyo Uganda iizidi Tanzania kwa food security ?!
Bro huyo jamaa kanywa chai ASUBUHI kweli
Umeona amekimbia?, hawajamaa huwa hawajui mambo mengi sana, hii JF imekua kama ni darasa kwao, wanajifunza mambo mengi sana.
 
Huyo anaongea jinsi serikali yenu ilivyo ya kinafiki...au pia hta video hauoni...mtanzania kuingia kenya rahisi sana...haya ngoja mkenya ajaribu kufika mpkani..utachoka nakwambia...

Unafiki ndio zenu
Kama mnadhani kuna shida, lazima mtumie vyopo vya kisheria tulivyojiwekea ili kutafuta suluhisho, mkijichukulia sheria mikononi tutajibu kwa nguvu zote, hamna ubavu wa kupambana na sisi, " We shall starve you to death".
 
Daaaah kaka huyo mchizi kapagawa ahahahahhahabahhahahahahahahaa.
BRO THIS IS GREATEST IGNORANCE EVER.UGANDA TO BE A NATION WITH HIGH FOOD SECURITY IN AFRICA?!
IT MEANS HATA HUKO SYCHELLES WASHAMBAA?!
MWAMBIE HUYO JAMAA AKAKAE DARASANI ASOME BHANA AACHE CHAI ZA. MOTO.
 
Khaaa kwan tz vibiriti hamnaa.
Kuna vibiriti vya kasuku na vya metl vinatengenezwa huku mzee baba.
Tz ya sasa kuna mambo ambayo inajitahidi kujitegemea usiichukulie kama Rwanda au Burundi.
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Nendeni mkajipange kwanza...manake hta vibiriti tutapiga ban
 
Ajira mmewapa au wabongo hamuajiriki?? Wabongo kujitambua zero kabisa. Ndiyo maana unawaona wanasiasa wanavyochezea wananchi.
Sasa mnalialia nini ? Kama wa Tz hatujitambui? Kaza uzi baba Magufuli , wa ke. Waendelee kuisoma namba.
 
Kama mnadhani kuna shida, lazima mtumie vyopo vya kisheria tulivyojiwekea ili kutafuta suluhisho, mkijichukulia sheria mikononi tutajibu kwa nguvu zote, hamna ubavu wa kupambana na sisi, " We shall starve you to death".
Bwahahaaaaa!!!lazima tuwabane...tumewaachia sana...wafanyiniashara wadogo wadogo sana watz ndio wataumia...afadhali wawekezaji...
 
Wao ndio wanatuabudu sisi , ulizia vizuri.
Kuwaua Watanzania ndio kuwaabudu???

Mnajifariji na ule uongo wa kukomboa Waafrika lakini wapi? Mbona hamkuikomboa Somalia, DRC, Central African Republic, Rwanda na Burundi 1994 genocide? Nyinyi ni wakora tu wa kuzihangaisha nchi ndogo ndogo Kama Komoro. Bure kabisa
 
Kwani ww hata kuthubutu kufanya hvyo ulithubutu?!
You didn't even dare to do that.
Somalia unashindwa kuisaidia hadi sasa.
But Congo kuna majeshi ya TPDF yanafanya kinachotakiwa.
Halafu usitaje tulipotereza pachache,taja tulipofanya vzury pingi.
Kama Mozambique pia ulitakiwa kuwataja km walijigomboe kwa motivation na msaada wa Tz.
Wee hata kuthubutu km Tz hujathubutuu
 
Bwahahaaaaa!!!lazima tuwabane...tumewaachia sana...wafanyiniashara wadogo wadogo sana watz ndio wataumia...afadhali wawekezaji...
Jaribuni muone. Wanasiasa wenu wamezoea kutoa matamshi ya hovyo bila kuchukuliwa hatuna, Jaguar alidhani Tanzania ni Kenya, Leo ni siku ya pili bado ananyea katika ndoo, na tutafuatilia kwa karibu sana, asipopata adhabu, tutazuia chakula kuja Kenya.
 
Hapo pa kusema eti vifaranga weny walichimwa moto[emoji849][emoji849]
Siafiki jambo hilo la kuchomwa moto viumbe vile ila how comes mseme vyenu wakati vilishanunuliwa na mtanzania na vilichomewa tanzania?
Maofisini huku kama kwangu maseniours ndo wamejaa wakenya. Mmejaa vitengo kibao tuu. Ila vita hii sii salama kwetu sote. Bado tunahitajiana sana
 
Your brain might be too liquidity
 
Watanzania tatizo tuna wapenda sana wenzetu mpaka wanatuona wajinga, NI WAKATI SASA KWA SERIKALI NA KILA MTANZANIA MZALENDO KUHAKIKISHA TUNAFANYA BIASHARA ZA KIUNGWANA NA MATAIFA YALE TU YENYE NIA NJEMA NA KUTUPILIA MBALI WAPUUZI .
SADC ni wenzetu hata Kama South Africa wanawaua ndugu zetu ila tukumbuke tuliwakomboa kwa hio ni Bora kuliko Nyang'aus.
 
Naunga mkono kauli ya jamaa.
Nchi ikileta ujinga unafanya upumbavu ili mazoea yapungue na thamani iwepo.
SADC ni wenzetu hata Kama South Africa wanawaua ndugu zetu ila tukumbuke tuliwakomboa kwa hio ni Bora kuliko Nyang'aus.
 
Majibu ya kijinga kabisa!

Kama kweli walikuwa wameingizwa ndani ya nchi, basi kuna uwendawazimu mkubwa nchini mwetu. Ina maana mpakani hakuna wakaguzi? Mzigo unapoingia nchini mwako, unakaguliwa wapi?

Lakini kwa ujumla maelezo yako ni ya uwongo.
Alipita njia za panya hakupita official border
 
Hiyo mbunge wa Kenya shenzi kabisa kwao pesa ilishaingia hasara kala mtanzania mwenzetu anabweka nini.Wakati hao wakenya ndio walimtapeli mtanzania mwenzetu Kwa kutompa document husika.Wakamshauri apite njia za panya ilishaingia ile lake WA chao wakiwa wameshalipwa
 
Jaribuni muone. Wanasiasa wenu wamezoea kutoa matamshi ya hovyo bila kuchukuliwa hatuna, Jaguar alidhani Tanzania ni Kenya, Leo ni siku ya pili bado ananyea katika ndoo, na tutafuatilia kwa karibu sana, asipopata adhabu, tutazuia chakula kuja Kenya.
Eti jaribuni...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]lazima tuwabane...mtanuka meno mwaka huu...
 
Jaribuni muone. Wanasiasa wenu wamezoea kutoa matamshi ya hovyo bila kuchukuliwa hatuna, Jaguar alidhani Tanzania ni Kenya, Leo ni siku ya pili bado ananyea katika ndoo, na tutafuatilia kwa karibu sana, asipopata adhabu, tutazuia chakula kuja Kenya.
Eti mfuatilie...km akina nani...unafikiria ni km kwenu mtu anaahidi kuua wavuvi wa nchi jirani kisha hapelekwi mahali...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…