Asee we jamaa unajidanganya kwa uchumi wa makaratasi?!
Katika sector ipi mpo mbele.,?!
1)SGR yenye kuleta hasara ?!
2)Njaa Turkana?!
Eti
Nyie mmetuzidi ukabila tyuu na njaa Kali na miradi yenye kuleta hasara basi.
si mka 'haso' kwenye korosho tuone kujidai kwenu?
kila kitu mnazidiwa kasoro ubishi tu .nyie ni wabishi tu
kila kitu mnazidiwa kasoro ubishi tu .nyie ni wabishi tu
Ahhahaahaha asee hata sector ya michezo mpo nyuma.
Uwanja wa mpira mbovu na sidhani hata hao wachezaji wenyewe kama mnawalipa vizury
Tz 5 - ke 0sasa uwanja nzuri alafu unagongewa ndio nn sasa. ww angalia mechi ya leo uone tafauti ya bla bla na action yetu ni action tu nyie ongeeni tu
Tz 5 - ke 0
We unajitapa ilhali huna food security una uwezo gani ww?!
mtu asikudanganya hamna nchi yenye food security100% in Africa .
Hata machines haiko 100% efficiency.mtu asikudanganya hamna nchi yenye food security100% in Africa .
unaijua miaka 20 wewe?unaota mzee hujui kama tz iko 20 yrs nyuma ya kenya Kwa sector zote .pole mkuu
unaijua miaka 20 wewe?
Huyo Mbunge ni Comedians,hajui kwanini ng;ombe zilipigwa mnada na kwanini vifaranga vilichomwa moto.Kumbe hii vita ya Jaguar tuliianzisha wenyewe!! Sikiliza Majority Leader bungeni kenya leo.
Naomba nikujuze kama mimi ni mtanzania kama wewe. Mimi na wewe tunatofautiana sehemu zifuatazo;Kinachowaliza nini sasa.
basi lala kesho nayo ni sikuutajua hujui
basi lala kesho nayo ni siku
Naomba nikujuze kama mimi ni mtanzania kama wewe. Mimi na wewe tunatofautiana sehemu zifuatazo;
1. Utanzania wangu haunifanyi nishindwe kusema ukweli mahali ambapo panatakiwa kusema ukweli.
2. Utanzania wangu haunizuii kuona hatua wenzetu wakenya wamepiga.
3. Utanzania wangu haunifungi fikra na kuamini ninachoamini na kukiona kipo sahihi.
Wewe ni moja ya watanzania tunao na tuna jukumu la kuwabadili kifikra. Nitafanyeje sasa na Mungu karuhusu tuzaliwe nchi moja na wewe.

tofautisha ukame ena uvivu.Kawaida. nanyi kenyans mkapunguze njaa na kuwapa mishahara bora madkatari wasigome na mkaendeshe vema Railway system yenu isilete hasara ndio tuone kujidai kwenu.
sawa mimi ni kukusilali nataka nione vile utakula magoal ya mvua kuku ww kalale