Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

kila kitu mnazidiwa kasoro ubishi tu .nyie ni wabishi tu
Asee we jamaa unajidanganya kwa uchumi wa makaratasi?!
Katika sector ipi mpo mbele.,?!
1)SGR yenye kuleta hasara ?!
2)Njaa Turkana?!
Eti
Nyie mmetuzidi ukabila tyuu na njaa Kali na miradi yenye kuleta hasara basi.
 
Kawaida. nanyi kenyans mkapunguze njaa na kuwapa mishahara bora madkatari wasigome na mkaendeshe vema Railway system yenu isilete hasara ndio tuone kujidai kwenu.
si mka 'haso' kwenye korosho tuone kujidai kwenu?
 
sasa uwanja nzuri alafu unagongewa ndio nn sasa. ww angalia mechi ya leo uone tafauti ya bla bla na action yetu ni action tu nyie ongeeni tu
Ahhahaahaha asee hata sector ya michezo mpo nyuma.
Uwanja wa mpira mbovu na sidhani hata hao wachezaji wenyewe kama mnawalipa vizury
 
mtu asikudanganya hamna nchi yenye food security100% in Africa .
Hata machines haiko 100% efficiency.
Kutokana na friction inayosababisha loss of energy.
Lakini haitakiwi upungukiwe chini ya 70% sawa mkuu.
Ni sawa na Kenya hamna surplus za kuwasaidia ilhali sisi tuna surplus japokuwa hatuko 100% in food security.
 
Kumbe hii vita ya Jaguar tuliianzisha wenyewe!! Sikiliza Majority Leader bungeni kenya leo.

Huyo Mbunge ni Comedians,hajui kwanini ng;ombe zilipigwa mnada na kwanini vifaranga vilichomwa moto.

Ningependa kumfahamisha kwamba sio kwasababu ni kutoka kenye ndio maana serikali ilifanya hivyo,hata ng'ombe wa watanzania wakicross sehemu isiyoruhusiwa wanapigwa mnada tu,ukileta bidhaa feki hata ukiwa mTZ wanachoma moto tu.
 
Kinachowaliza nini sasa.
Naomba nikujuze kama mimi ni mtanzania kama wewe. Mimi na wewe tunatofautiana sehemu zifuatazo;
1. Utanzania wangu haunifanyi nishindwe kusema ukweli mahali ambapo panatakiwa kusema ukweli.
2. Utanzania wangu haunizuii kuona hatua wenzetu wakenya wamepiga.
3. Utanzania wangu haunifungi fikra na kuamini ninachoamini na kukiona kipo sahihi.

Wewe ni moja ya watanzania tunao na tuna jukumu la kuwabadili kifikra. Nitafanyeje sasa na Mungu karuhusu tuzaliwe nchi moja na wewe.
 
Hakuna anayekataa km Tz tuna mapungufu kaka angu.
Hususan katika uongozi wetu ni balaaa.
Lakini wenzetu wanakera kwa kujibaragua sana ilhali nao kuna sector wana madhaifu balaaaa tena sanaaa.
U superiority wao unakera sana kiukweli.
Wawe normal kama sychelles na mataifa mengine yaliyopiga hatua kutuzidi ila sio wao
Naomba nikujuze kama mimi ni mtanzania kama wewe. Mimi na wewe tunatofautiana sehemu zifuatazo;
1. Utanzania wangu haunifanyi nishindwe kusema ukweli mahali ambapo panatakiwa kusema ukweli.
2. Utanzania wangu haunizuii kuona hatua wenzetu wakenya wamepiga.
3. Utanzania wangu haunifungi fikra na kuamini ninachoamini na kukiona kipo sahihi.

Wewe ni moja ya watanzania tunao na tuna jukumu la kuwabadili kifikra. Nitafanyeje sasa na Mungu karuhusu tuzaliwe nchi moja na wewe.
 
Maana hata wao wana viraka kibao wakiiongoza nchi kikabila na udini lakini hilo wanalificha na kujibaragua ilhali si sawa wafanyalo.
WAWE NORMAL BHANA WANAKERA
Naomba nikujuze kama mimi ni mtanzania kama wewe. Mimi na wewe tunatofautiana sehemu zifuatazo;
1. Utanzania wangu haunifanyi nishindwe kusema ukweli mahali ambapo panatakiwa kusema ukweli.
2. Utanzania wangu haunizuii kuona hatua wenzetu wakenya wamepiga.
3. Utanzania wangu haunifungi fikra na kuamini ninachoamini na kukiona kipo sahihi.

Wewe ni moja ya watanzania tunao na tuna jukumu la kuwabadili kifikra. Nitafanyeje sasa na Mungu karuhusu tuzaliwe nchi moja na wewe.
 
Kawaida. nanyi kenyans mkapunguze njaa na kuwapa mishahara bora madkatari wasigome na mkaendeshe vema Railway system yenu isilete hasara ndio tuone kujidai kwenu.
tofautisha ukame ena uvivu.
 
Back
Top Bottom