FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Unatuita wajinga? Si busara, chunga ukimi wako.Tangu lini muungano wa watu fukara ukadumu.Haya mambo tuwaachie wazungu wa EU tu lakini siyo sisi wa shithole countries. Kuna wajinga bado walikuwa wanafikiria eti tuwe na United states of Africa.Vinchi vinne tu tayari matatizo ndio ije nchi zaidi ya 50.
Mkuu, hawa tusiwachukulie pia poa maana ndo wanaotumwa na wakubwa wao wafikishe ujumbe na unaeza kuta ndo msimamo wa serikali yao japo sio rasmi.Type ya wabunge hao ndio kama kina Kibajaji au Kina Ally Kessy ni Comedians usiwachukulie serious.
Ha ha ha unachekesha kweli. Wabaneni Zanzibar ,you way out of of Kenya's league.Ni vizuri sana,watanzania tuendelee kuwabana mbavu kila sekta
Si tu kuajiriwa ,na ardhi wamenunua sana Tz, wameoa na kuolewa sana Tz, ili wapate ardhi , anaefaidika ni wakenya , watanzania ni wachaxhe sana wanaofaidika na kenya.Makubwa watu wanaweka tuu data. Ila ki takwimu wakenya wameajiriwa wengi Tz kuliko watanzania kenya
Wakenya wanajifaragua tu , wao ndio wamejaa huku.Ni rahisi tuu. wakenya wote walioko Tanzania warudi kwao na pia wa TZ walioko Kenya warudi TZ. Kisha tuone nani Kichaa zaidi
Ha ha ha unachekesha kweli. Wabaneni Zanzibar ,you way out of of Kenya's league.