Ningeshangaa usingeunga mkonoSafi sana.Namuunga mkono huyu mbunge maana kasema ukweli.
Sio mkenya huyo bali ni jamaa fulani anayejikomba komba kwa wakenya kila siku.We ni mkenya sio?mtabanwa tu sio unaona wanavyopanic wenzako huko
Shangaa viongozi wako waliofeli katika swala zima la diplomasia na kupelekea hii aibu kwa Taifa letu.Ningeshangaa usingeunga mkono
Idi Amin alianza hivyo hivyo. Kilichompata sasa ni historia.Ha ha ha unachekesha kweli. Wabaneni Zanzibar ,you way out of of Kenya's league.
Haya ni matokeo ya watu fulani kukosa busara.Jambo limezua majambo!
Hiki tunachokiita EAC ni jumuiya hewani. Tujitoe tu kama nchi. Rais Magufuli tunaomba atuongeze kujitoa. Hatuwezi kuendelea kushirikiana na watu wenye spirit kama hii. Haiwezekani.Jambo limezua majambo!
By SIMON NDONGA, NAIROBI, Kenya, Jun 12 – Interior Cabinet Secretary Fred Matiangi has reiterated that the government will not issue work permits to foreigners wishing to engage in small-scale trade, saying even those found trading in Gikomba market in Nairobi will be deported.Pumbavu kabisa wewe, huo ujinga wenu na kauli ya Duale itaigharimu Wakenya.
Mnaichezea Sharubu za Magufuli nyie. Kaa mkijua Magu sio Kikwete. Kabla hapajakucha jambajamba itafanyika kwa wakenya wote waliopo nchini na hapo ndio Utajua kuwa bila Tanzania, Kenya haipo.
I think sooner than later...Wanachezea sharubu za Magu, wataumia soon if not sooner
Aibu ipi na ww msema chochoteShangaa viongozi wako waliofeli katika swala zima la diplomasia na kupelekea hii aibu kwa Taifa letu.
By SIMON NDONGA, NAIROBI, Kenya, Jun 12 – Interior Cabinet Secretary Fred Matiangi has reiterated that the government will not issue work permits to foreigners wishing to engage in small-scale trade, saying even those found trading in Gikomba market in Nairobi will be deported.Wewe unaongea usichokijua.
Do you think bila kuwa na Blocks utaweza kushindana ktk dunia ya leo.
1. USA ni muunganiko wa several states
2. Ukiwa member wa European countries U'r liable to work among of the Member states with free permit
3. Kumbuka kilichomkuta Theresa May (UK prime minister) under Brexit Saga.
Ukibaki wewe na Kenya yako mwishowe utaanza kubaguana Wakamba, Wakarenjini, Kikuyu, Luo
Hayo ni mawazo ya kimaskini sana.
After all ukija Tz utawakuta Kenyans wengi Dar es salaam, Arusha, Tarime wanafanya kazi au Biashara zao
Nimemsikia anasema CEO wa Benki furani anatoka Kenya na huwa anashitaki huko kwao kwamba wananyanyaswa hapa kwetu. Nashauri atafutwe mapema na atoe maelezo kama ni kweli ama la
Hawatathubutu mkuu....angalia statistics utagundua nani anafaidika zaidi.... infact Kenya wanafaidika mara mia zaidi kuliko Tz kwenye huu ujirani na volume of trade.... employment interactions...etcNimeshasema mahali flani kuwa; Hii kisirani haitakwisha kwa maneno ya Kenyatta. Lazima hii kitu utoke na mtu. Kuna siku mtaona mpakani kumejaa watz kutoka huko tena bila hata ndururu
Chuki hujengwa taratibu na pengine bila kujuaMavijana mengi ya Tz ni mapuuzi na mazwazwa mnoo, yaan jitu linaunga mkono kila kitu eti simply haumpendi Magufuli or yeyote ktk Serikali, guys are yuu stupid? Yaan mzalendo gan anaweza kuunga mkono huu utumbo wa msomali kichaa
Ni kweli, ila ukimsikiliza kwa makini wakati anamalizia anaongelea CEO wa benki furani hapa Tanzania ambaye uwa ana mawasiliano nae mara kwa mara, na huyo CEO anamueleza mambo mengi wanayopitia wakenya waliopo hapa Tanzania.Ninachokijua mimi hakuna mgeni anaenyanyasika BONGO labda kama watafuta chokochoko na tutawachokonoa tu.