Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

Makubwa watu wanaweka tuu data. Ila ki takwimu wakenya wameajiriwa wengi Tz kuliko watanzania kenya
Tunakosa ajira nje kutokana na UZWAZWA wetu... hatuna maarifa shindani katika ajira si Kenya tu bali hata Uganda... (kuna walimu kibao wa kiganda hapa kwetu je kuna walimu wangapi wa kitanzania Uganda?)
TUNAJIOGOPA... TUNA HOFU... HATUJIAMINI WALA KUJITAMBUA..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ama kweli unawashwa na kinyeo, sasa hapa umesema nini?? Jibu hoja yangu pumbavu. Mm hapa kwangu, mfanyakazi wa ndani, gardener na mlinzi pale nje ni wakenya wenzio, je kwa uroho yenu mbaya mnataka tuwafukuze na wao??
Citizen TV Kenya ·
Beggars from Tanzania flood Kenyan streets #BeggarsForHire Mercy Kandie Tanui



akili potovu mla albino wewe! njoo uachukue ndugu zako omba omba hapa kenya kabla ya kutoa povu nusu kikombe hapa! Nakukumbusha tena Tz is a basket case,, poor like dirt, export ya omaba omba is the only shining dot you got!!!
 
Nakubaliana na mleta mada kwamba Jaguar alikosea hakupanga maneno yake vizuri, angetumia busara na kuibua hoja ipasavyo, ni kweli na muhimu sana kuijadili Tanzania, yeye kama mbunge anafaa kubuni hoja ya kujadili uhusiano wetu na Tanzania maana kiukweli hawa majirani wa kusini wamepitiliza chuki zao dhidi ya Wakenya, tumekua tukiwavumilia lakini imefikia hatua itabidi wajadiliwe.
Ni kweli tutapoteza ikitokea tunafungiana, lakini hata hivyo pia heshima kwa nchi na watu wake ni muhimu, liwekwe kwa meza lijadiliwe ifikie hatua kieleweke kimoja. Haya mambo ya kuvurugana nyuma ya pazia yafike mwisho, serikali yetu imekua kimya sana, imefikia muda iamshwe kwa vibao na kuona mwanga. Bunge letu ni taasisi muhimu, huyu Duale aendeleze hizi hoja zake.
 
HUYO SHEKHE HAMJUI MAGUFULI VIZURI....
wakitaka matatizo waendelee na midomo yao. Majaliwa alijibu kwa busara sana na ngoja tusubiri kauli ya serikali kutoka kenya maana hao wabunge ni kama kina Kingu tu...
 
Kumbe hii vita ya Jaguar tuliianzisha wenyewe!! Sikiliza Majority Leader bungeni kenya leo.
i have listened this guy... what i understand now is kenyans for kenyans and tanzanians for tanzanians... lets call espade a spade !! this tanzanians-kenyans relationship must be viewed in all aspects if it is beneficial to both country and if it is not... why not be quited for the sake of both country?? the way this guy talking... is like he is talking the truth and the truth always hurts,!!! i think we should quit relationship for good... let tanzania be tanzania and kenya be kenya... this can be good....
 
Ukishiba sana maharage unaweza ukalewa hadi ukaropoka. Wakenya hapa TZ wanakula bata tu. Wengine wanajiita majina ya kitanzania, hawataki kurudi kwao.
Hao wabunge waacheni waseme uongo wao, midomo hawalipii kodi.

Wakichoka kusema watakuja kuungana na wenzao TZ hapa kula bata.
Tunawakaribisha sana, uadui kwetu mwiko kwani Sisi wote ni Waafrica na Africa ni moja.
 
jaguar has spoiled the oxygen, we always inhale non-oxygen now!! i think xenophobia between tanzania and kenya is around the corner!! see this man saying kenyans are more hospitality than us.. really??? many kenyans are in even interior of tz... have kenyans heard that their fellow kenyans died because of hate in tz??? i hate all kenyans from now on and i I were a president, i would have argued all tznians who live in kenya to return back home and kick away all kenyans to kenya.... bull shitt this man and all kenyans....
 
Heri kibaguana kuliko kutekana na kunyofoana minofu na kulana[emoji26][emoji26][emoji26]
Na vile wanachinjana waTz wenyewe wakitafuta utajiri kwa njia za kuua albinos. Hawa watu hawana utu wala ungwaana.
 
Sawa Nyang'au la Kibera.
Bwana kama waishi kwa nyumba ya vioo, kaa mbali na mawe. Usitupe dongo ovyo ovyo kaka aidha!! Hapa sio Tanzania!!





Narudia tena, nafazi za kazi ambazo hazina utalamu maalumu hazifai kujazwa na wageni! Watu waende nchini mwao wakafanya uchuuzi wa mali mali! wageni wenye vipawa maalumu na utaalamu ambo haupo kenya wapewe kipao mbele.
Wanaotaka kuwekeza Kenya wamekaribishwa mradi wafuate sheria za nchi na kuajiri wakenya.
Omba omba kama hawa watanzania wanaozurura ovyoovyo kenya wabaki huko huko wanywe maziwa na Asali!!! I wonder mbona wanakimbia mifereji ya maziwa na asali kuomba omba kenya!! useless!!
 
kwa hili ningekuwa ni mshauri wa JPM... ningemshauri kuwa tuvunje mahusiano na kenya bila ajiz.... kama mbunge wa kenya anaongea hivyo... wananchi wa kenya wanaweza ongeaje??? yaani ni chuki juu ya chuki.. hakuna tena udugu kati ya tz na knya!! kuanzia leo ninawachukia wakenya woote
 
Awamu ya 5 imetuletea aibu sana , anayoongea huyu mbunge jasiri wa Kenya ni kweli tupu !
Mkuu, wakati kuna waheshimiwa wanalialia humu "KWA KUJIFANYA HAWAUONI HUO UKWELI WA HUYO MBUNGE WANAYEMUITA MSOMALI ILHALI NI MKENYA" JE HIVI ILE LAANA YA KUCHOMA MOTO WALE VIFARANGA ILIKUWA INAMKOMOA YULE MAMA MYONGE AU ILIKUWA KUPAMBANA NA KENYA "VITA YA UCHUMI" KAMA TUNAVYOAMINISHWA?
 
kwani nyinyi mlivyoripua vile vifaranga mlijiuliza strategy mliotumia ?
Watanzania ni kama "tuna damu ya kunguni ughaibuni!!!" Nikiyakumbuka ya SA nayaona ya Kenya hapo bado kwingineko....
Kuna tatizo mahala...
 
Wakenya wenyewe wanabaguana kwa makabila so sioni ajabu wao kubagua raia wa nchi nyingine tuwasamehe tu bado wako zama za mawe za kale.
Mbaki huko kwenu maadam hambaguani mbona mnakuja huku ?. Mtu akiwa na mapungufu flani weye usio na mapungufu mbona ujilazimishe kwake? .
 
hii sasa ni chuki, jambo la kitaifa unaleta mambo ya upinzani. ndo maana watu wenye akili hawawezi kuwapa nchi. maana mmegubikwa na umimi na sio utaifa. umeniangusha sana aisee
Nyie mliopewa nchi kwa miaka zaidi ya 50 na huu umasikini uliokithiri mna faida gani kwa nchii?
 
Stupid nonsense!! they want to inter our country as they like,they want to invade and feed their cattles as they want,they want to bring low graded chicks and we should allow that,they want any one who wants to work here to get permission without been questioned...even if she is not clean we should allow her,this poor mp talk with no or very minimal research and people like this are famous though pity fools. You can't protect your people by disgracing others!! If they want to start 'varangati' they should come out clear with it,am gonna get some free houses and business not very far from here...we don't fear shit man!!
 
Tusilipize visasi. Mambo kama haya yashughulikiwe kwa busara. Kati ya migogoro iliyoturudisha nyuma kiuchumi na kijamii Watanzania ni kuvunjika kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Mengine ni Azimio la Arusha na Vita vya uhujumu uchumi na vita vya Kagera. Busara itumike na tuache ushabiki usiokuwa na tija. Alichosema huyo mbunge siamini kama ni msimamo wa serikali ya Kenya. Sisi Watanzania tuliopo mipakani tunajua athari za migogoro kama hii. Mungu aepushie mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…