Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Tunakosa ajira nje kutokana na UZWAZWA wetu... hatuna maarifa shindani katika ajira si Kenya tu bali hata Uganda... (kuna walimu kibao wa kiganda hapa kwetu je kuna walimu wangapi wa kitanzania Uganda?)Makubwa watu wanaweka tuu data. Ila ki takwimu wakenya wameajiriwa wengi Tz kuliko watanzania kenya
TUNAJIOGOPA... TUNA HOFU... HATUJIAMINI WALA KUJITAMBUA..