Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

Wadau,

Nimeangalia kwenye YouTube, Bunge la Kenya na kuna Mbunge mmoja anaiitwa Duale ameishambulia Tanzania na serikali yetu kuwa tuna wabagua kwa nafasi za kazi kwa watu wao na biashara na pia amesema yule mbunge Jaguar alietoa kauli tata kuhusu kuondolewa kwa wafanyabiashara wa kitanzania nchini Kenya, yupo sahihi kulinda maslahi ya wakenya.

Ameishambulia sana serikali ya Rais Magufuli na Bunge la Tanzania.



Nadhani kuna kitu hakiko sawa kwa uapnde wa hawa wenzetu. Kuna chuki fulani dhidi ya watanzania.

My observation; naona tumekuwa pia tishio kwa wakenya kwenye ushindani kuanzia biashara mpaka kwenye ajira. Maana huyu mbunge kalalamika kuwa machungwa na kabichi wanazokula bungeni zinatoka Tanzania, masoko nchini Kenya yametekwa na watanzania. Heko watanzania wenzangu!


Ndiyo maana mimi nilikuwa na mashaka sana na hii East African Community, kwani tulikuwa nayo tangu zamani lakini kwa vile haikufurahisha matakwa yao wakati huo, wakaivunja na kupora mali zake karibu zote. Unapoiona KQ ikiwa juu ya airlines zote za Tanzania na Uganda leo ni kwa sababu walipora ndege zote zilizokuwa za EAA kasoro ile iliyotoroshwa na Capt Mapunda. Sasa hivi tunaelekea kurudia yale yale ila safari hii sijui watapora nini. Niliandika post moja ya kuonyesha mashaka yangu haya mwaka 2007 hapa, na miaka leo 12 bado mashaka hayo hayajanitoka.
 
Hiki tunachokiita EAC ni jumuiya hewani. Tujitoe tu kama nchi. Rais Magufuli tunaomba atuongeze kujitoa. Hatuwezi kuendelea kushirikiana na watu wenye spirit kama hii. Haiwezekani.
Waswahili husema,"shuzi la mwanao,marashi"
 
Nchi zote mbili zitaathirika lakini kenya itaathirika zaidi. Wakenya wanetapakaa nchi hii hata katika maeneo remote ambako hutarajii kuwakuta unawakuta waneshaoa zaidi kuliko kuolewa na wamezaliana sana. Wanafanya biashara kubwa na ndogo wanafuga na kulima. Mi nafikiri tuache tu wananchi wa EA waishi wanavyoishi tu!
Ni rahisi tuu. wakenya wote walioko Tanzania warudi kwao na pia wa TZ walioko Kenya warudi TZ. Kisha tuone nani Kichaa zaidi
 
Nimemsikia anasema CEO wa Benki furani anatoka Kenya na huwa anashitaki huko kwao kwamba wananyanyaswa hapa kwetu. Nashauri atafutwe mapema na atoe maelezo kama ni kweli ama la
Huyu atakuwa katumwa atuchafue tu, Tanzania hatuna ukabila, udini wala utaifa. Yeye CEO anyanyaswe na watu gani. Ni vema aondolewe kabisa kuliko kumuacha hapa na uchochezi wake.
 
Hivi Wakenya do you think kuna mtanzania anashida ya kuja kuishi Kenya???
Nyie Deport any Tanzanian muone??
Coz Sisi tunapenda Amani.
Watanzania wanakwenda Rwanda, Burundi, DRC, Uganda na huko wanapokelewa vizuri sana. Even those EA countries people are free to work & doing business in Tz without any harrassement!!!
What is so special in Kenya????
Compare below two countries Vegetation then come for Argument
1139457

1139458
 
Hiki tunachokiita EAC ni jumuiya hewani. Tujitoe tu kama nchi. Rais Magufuli tunaomba atuongeze kujitoa. Hatuwezi kuendelea kushirikiana na watu wenye spirit kama hii. Haiwezekani.
mlipokuwa mnaleta unyama kwenye vifaranga vya watu mlidhani mabwege wale , ni kipi alichoongea huyu mh unachoweza wewe kupinga ?
 
Nimwongezee aje? ?? Niongeze volume ama niache???
 
Hivi Wakenya do you think kuna mtanzania anashida ya kuja kuishi Kenya???
Nyie Deport any Tanzanian muone??
Coz Sisi tunapenda Amani.
Watanzania wanakwenda Rwanda, Burundi, DRC, Uganda na huko wanapokelewa vizuri sana. Even those EA countries people are free to work & doing business in Tz without any harrassement!!!
What is so special in Kenya????
Compare below two countries Vegetation then come for Argument
View attachment 1139457
View attachment 1139458

Kwa hivo Midanganyika milioni mmoja unusu wanaoishi Kenya ni Mefi ya mbuni??? Usipoteze akili mapema namna hiyo
 
MP JAGUAR-STAREHE CONTITUENCY HAKUPANGA SEMI ZAKE KISAWASAWA LAKINI HOJA YAKE KILA MKENYA ANAIFAHAMU!!! Wageni bila vibali au vibali gushi wanafanya biashara na kazi ambazo serikali ya kenya haitoi vibali kujiiuzisha!!!Sheria za kenya zinaruhusu uwekezaji na kuajiri wakenya au kulete wataalamu kama huo utaalamu hauwezi kuupata Kenya!!
Omba Omba kutoka Tanzania na nchi zingine jirani, uchuuzi wa mali mali na n.k sio fadhila kwa Kenya.
Tanzania walifukuza wakenya na wageni toka nchi jirani mwaka juzi na hamna aliyeteta. Kwani Kenya haina ruksa kutekeleza sheria zake. Way to go Hon. Duale!!
Sai naona watakomaa...wantubana kw sheria zao za chuki dhidi ya wakenya...sasa imekula kwao
 
Hata kama huyu msomali wa Kenya anaongea kweli tupu ila tunamwambia hatuogopi na wasitutishe wakitaka na jumuia waivunje kwani nini
 
Hivi Wakenya do you think kuna mtanzania anashida ya kuja kuishi Kenya???
Nyie Deport any Tanzanian muone??
Coz Sisi tunapenda Amani.
Watanzania wanakwenda Rwanda, Burundi, DRC, Uganda na huko wanapokelewa vizuri sana. Even those EA countries people are free to work & doing business in Tz without any harrassement!!!
What is so special in Kenya????
Compare below two countries Vegetation then come for Argument
View attachment 1139457
View attachment 1139458
Kila mtu akae kwao...ndio tuone nani mwanaume...manina hta toothpick hatutowauzia tena...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe unaongea usichokijua.
Do you think bila kuwa na Blocks utaweza kushindana ktk dunia ya leo.
1. USA ni muunganiko wa several states
2. Ukiwa member wa European countries U'r liable to work among of the Member states with free permit
3. Kumbuka kilichomkuta Theresa May (UK prime minister) under Brexit Saga.
Ukibaki wewe na Kenya yako mwishowe utaanza kubaguana Wakamba, Wakarenjini, Kikuyu, Luo
Hayo ni mawazo ya kimaskini sana.
After all ukija Tz utawakuta Kenyans wengi Dar es salaam, Arusha, Tarime wanafanya kazi au Biashara zao
Umesahau wakenya wanabaguana sana tena sana ndio maisha yao
 
Ama kweli unawashwa na kinyeo, sasa hapa umesema nini?? Jibu hoja yangu pumbavu. Mm hapa kwangu, mfanyakazi wa ndani, gardener na mlinzi pale nje ni wakenya wenzio, je kwa uroho yenu mbaya mnataka tuwafukuze na wao??
By SIMON NDONGA, NAIROBI, Kenya, Jun 12 – Interior Cabinet Secretary Fred Matiangi has reiterated that the government will not issue work permits to foreigners wishing to engage in small-scale trade, saying even those found trading in Gikomba market in Nairobi will be deported.

Speaking during the launch of the e-passport centre in Nakuru on Wednesday, the CS pointed out that any foreigner who unlawfully engages in trade will be deported.


Pumba ni wewe. Tanzania is basket case mnaokula albino na ushirikina ni kama kuagiza chai kibandani!
Omba omba wamefurika mijini na vijijini kenya toka tanzania, mtajisaidia kwanza au ni kusaidia wengine. Rudi shimo uliloibuka utafakari semi zako zaidi. Tanzania is the worst of worst maskini duniani. Omba omba producers! !!
 
Back
Top Bottom