Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

SADC ni wenzetu hata Kama South Africa wanawaua ndugu zetu ila tukumbuke tuliwakomboa kwa hio ni Bora kuliko Nyang'aus.
Hawa jamaa hawana kitu...wasauzi juzi tu wamewaulia watu wao...jamaa kimyaa..mikia wameitia mikunduni
 
Bado kulala mika kuhusu Dada zao tunavyo wala hawajui tuna vumilia mengi yaani unamchukua Wangechi ana sura ya baba yake tofauti ni papuchi
kwaiyo unadhani wa kwenu ndio wako salama watu wengine akili zao .
 
Bado kulala mika kuhusu Dada zao tunavyo wala hawajui tuna vumilia mengi yaani unamchukua Wangechi ana sura ya baba yake tofauti ni papuchi
Ngoja ile siku utatekwa...ndio utajua tanzania uzalendo ni taaluma na ina cheti...
Jaribu kuutafuta huo uzalendo,utaupata tu..manake sai bado sana..kamuulize moh...lissu naye mpka sasa kurudi nyumbani ywaogopa...
 
Si kweli.
Mbona kuna ma engineer na madaktari wengi mno wa kitz huko ughaibuni
Kisiasa si kweli kiuhalisia majibu yako wazi... idadi ya wafanyakazi toka mataifa jirani ni kubwa kuliko yetu. Anzia EUROPA HADI M/EAST, FAR EAST AU US NA CANADA.
 
Sina uhakika na kauli hii.
Wait niipitishe TBS mkuu.
Kisiasa si kweli kiuhalisia majibu yako wazi... idadi ya wafanyakazi toka mataifa jirani ni kubwa kuliko yetu. Anzia EUROPA HADI M/EAST, FAR EAST AU US NA CANADA.
 
mlipokuwa mnaleta unyama kwenye vifaranga vya watu mlidhani mabwege wale , ni kipi alichoongea huyu mh unachoweza wewe kupinga ?
Wewe unashauri nini sasa?
tupige raia na kurudishiana kama jaguar anavyosema
Au ni haki jaguar kusema kama anavyosema na inabidi watekeleze kwa kuwa vifaranga waliuwawa na ngombe kuuzwa?
Wewe unasemaje hapa
 
Back
Top Bottom