Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

Naomba nikujuze kama mimi ni mtanzania kama wewe. Mimi na wewe tunatofautiana sehemu zifuatazo;
1. Utanzania wangu haunifanyi nishindwe kusema ukweli mahali ambapo panatakiwa kusema ukweli.
2. Utanzania wangu haunizuii kuona hatua wenzetu wakenya wamepiga.
3. Utanzania wangu haunifungi fikra na kuamini ninachoamini na kukiona kipo sahihi.

Wewe ni moja ya watanzania tunao na tuna jukumu la kuwabadili kifikra. Nitafanyeje sasa na Mungu karuhusu tuzaliwe nchi moja na wewe.
Kama kweli wewe ni mtanzania halisi na si wakuungaunga, unatakiwa uwe mzalendo na labda ndio
mliosoma shule za wakenya waishio hapa Tz , uzalendo utautoa wapi lazima fikra zielekezwe ###.
Mada imeelezea uchomwaji wa vifaranga na wanaolisha ng'ombe , jiulize walitumia njia halali yenye kukidhi matakwa ya sheria za Tz? Jiulize hapo , kwa hiyo wavunje sheria kwa vile wewe mwakibete unawapenda hao kenya , jaribu kutafakari upya.
Kwa taarifa yako nimeishi kenya na ninawajua vizuri , maendeleo ni ya mabwajenye wachache waliojinyakulia ardhi na kuwaacha wakenya wengi hawana ardhi na kuwafanya kukimbiakimbia huku na kule kutafuta ardhi tena ndio mmejaa huku Tz , na wengine wengi wanaishi kibera ambapo kibera ni moja ya eneo moja mashuhuri duniani na la kwanza Africa kwa UDUNI wa maisha., so usijifarague , na uache kukariri mambo.eti mtamzania , pyu usie na uzalendo wa nini sasa, nenda kaishi huko na uombe uraia huko.
 
Mkuu umesema kweli
 
Wasamehewe tu.WALIHITAJI KULA NYAMA YA KUKU NA NG'OMBE ILI KUEPUKANA NA UTAPIAMLO.
VILE WALITWANGWA MAGOLI NI SABABU TOSHA HAWAPATI LISHE BORA HUKO KWAO.
 
Uzalendo haufundishwi chief. Wameshindwa kuwa wazalendo waliosomeshwa kwa kila kitu na hii nchi na baadaye kugeuka kuwa mijizi na kupambana na watoto wa maskini.

Kwa hiyo kama vifaranga na hao ng`ombe hawakufuata sheria ndiyo sahihi kilichokuwa kimefanyika?? Kuchoma vifaranga??? Unayajua makundi mangapi yenye uhitaji ewe mzalendo wa hii nchi?? Je hiyo haikutosha kuwapa watu mitaji ukiachilia mbali na kutunza haki za Wanyama kuwachoma wakiwa hai???

Ewe Mtanzania, ukisimama kwenye ukweli, utaiponya nchi yako pia.
 
TANZANIA HAINA NJAA KAMA TURKANA YA HUKO KWENU.
NYIE MLISHAWAHI LETEWA FOOD AID ULIONA WAPI TZ TUKALETEWA FOOD AID?!

Mkuu hata ukipanda Qatar airways ukabeba visivyotakiwa hata ikiwa Chakula kinatupwa ktk dust bin.
Ni taratibu kila nchi iliyojiekea na sheria zake
Uzalendo haufundishwi chief. Wameshindwa kuwa wazalendo waliosomeshwa kwa kila kitu na hii nchi na baadaye kugeuka kuwa mijizi na kupambana na watoto wa maskini.

Kwa hiyo kama vifaranga na hao ng`ombe hawakufuata sheria ndiyo sahihi kilichokuwa kimefanyika?? Kuchoma vifaranga??? Unayajua makundi mangapi yenye uhitaji ewe mzalendo wa hii nchi?? Je hiyo haikutosha kuwapa watu mitaji ukiachilia mbali na kutunza haki za Wanyama kuwachoma wakiwa hai???

Ewe Mtanzania, ukisimama kwenye ukweli, utaiponya nchi yako pia.
 
Uzalendo haufundishwi chief. Wameshindwa kuwa wazalendo waliosomeshwa kwa kila kitu na hii nchi na baadaye kugeuka kuwa mijizi na kupambana na watoto wa maskini.

Kwa hiyo kama vifaranga na hao ng`ombe hawakufuata sheria ndiyo sahihi kilichokuwa kimefanyika?? Kuchoma vifaranga??? Unayajua makundi mangapi yenye uhitaji ewe mzalendo wa hii nchi?? Je hiyo haikutosha kuwapa watu mitaji ukiachilia mbali na kutunza haki za Wanyama kuwachoma wakiwa hai???

Ewe Mtanzania, ukisimama kwenye ukweli, utaiponya nchi yako pia.
Wewe uwe unaelewa acha kukariri ,suala la vifaranga atakujibu mbunge wako.
 
TANZANIA HAINA NJAA KAMA TURKANA YA HUKO KWENU.
NYIE MLISHAWAHI LETEWA FOOD AID ULIONA WAPI TZ TUKALETEWA FOOD AID?!
Sitadanganya nchi ya tanzania imebarikiwa na ardhi nzuri ya kulima na kupanda mimea tofauti huwezi kusema hivo kuhusu Kenya. Na kila myu ywajua yakwamba Njaa turkana ilisababishwa na ukame, lakini serikali yetu ilihakikisha ya kwamba hakuna mtu mwengine atafariki kwa sababu ya njaa. Hamna noma braza sisi bado twaendelea na maisha yetu na hatusumbui watu hatakama ingekuwa vizuri kama nyinyi mandugu zetu mngetusaidia wakati wetu wa shida lakini mlikataa. Hayo yote yamepita na maisha bado yanaendelea.
 
Uzalendo haufundishwi chief. Wameshindwa kuwa wazalendo waliosomeshwa kwa kila kitu na hii nchi na baadaye kugeuka kuwa mijizi na kupambana na watoto wa maskini.

Kwa hiyo kama vifaranga na hao ng`ombe hawakufuata sheria ndiyo sahihi kilichokuwa kimefanyika?? Kuchoma vifaranga??? Unayajua makundi mangapi yenye uhitaji ewe mzalendo wa hii nchi?? Je hiyo haikutosha kuwapa watu mitaji ukiachilia mbali na kutunza haki za Wanyama kuwachoma wakiwa hai???

Ewe Mtanzania, ukisimama kwenye ukweli, utaiponya nchi yako pia.
Uzalendo haufundishwi unaota kama uyoga? Ehe,
 
Sawa kaka.
Ila jaribuni kuwa humble.
Tatizo lenu ndugu zanguni mnajibaraguza sana na mkiwa na rudeness sana majamaa.
Hiyo sio nzury.Kuweni humble bhana hiyo tabia mlio nayo iacheni aisee si nzuri.
Sitadanganya nchi ya tanzania imebarikiwa na ardhi nzuri ya kulima na kupanda mimea tofauti huwezi kusema hivo kuhusu Kenya. Na kila myu ywajua yakwamba Njaa turkana ilisababishwa na ukame, lakini serikali yetu ilihakikisha ya kwamba hakuna mtu mwengine atafariki kwa sababu ya njaa. Hamna noma braza sisi bado twaendelea na maisha yetu na hatusumbui watu hatakama ingekuwa vizuri kama nyinyi mandugu zetu mngetusaidia wakati wetu wa shida lakini mlikataa. Hayo yote yamepita na maisha bado yanaendelea.
 
Sawa kaka.
Ila jaribuni kuwa humble.
Tatizo lenu ndugu zanguni mnajibaraguza sana na mkiwa na rudeness sana majamaa.
Hiyo sio nzury.Kuweni humble bhana hiyo tabia mlio nayo iacheni aisee si nzuri.
Hapo uliposema wakenya tunapenda kujipiga kifua na kubaliana na wewe ila pia nyinyi mnakasoro pia.
Mnapenda sana kutuchukia sisi wenzenu pia mwapenda kuongea vibaya kutuhusu mnatuita nyangau, kibera, wahuni waona? Matamshi kama haya si mazuru ndugu yangu.

Lakini yaishe na tuendelee kuishi kwa amani kama mandugu waniunga mkono hapo?
 
Sawa mkuu hata hivyo mm si mtz halisi ni msomali tu.
Lakini namuheshimu kila mtu Kiukweli na wala sipendagi dharau kwangu wala sipendi kumdharau mtu.
Na napenda amani kote itawale.
SOTE TUOMBE MUNGU HUU MZOZO UISHE MAANA KITAKACHOTOKEA KITATUATHIRI SISI WENYEWE.
WE ARE ONE,AND WE ARE THE ONE MAKING EAST AFRICA,WHY CAN'T WE SETTLE OUR DISPUTES?!
MKUU TOKA NIINGIE HUMU JAMII FORUM WW NDIE MKENYA WA KWANZA UNAJIBU KWA USTAARABU HAKI YA MUNGU.
I RESPECT IT.
 
Pamoja kaka 🤝
 
Tatizo mnachukua fursa zao walianza na bomba la Mafuta mkabeba wakaja na kiswahili kufundishwa SA mkabeba wkaja na maparachichi na nyie mkaingiamo wakaanza na SGR na nyie mkaja kwa nn wasiwamaindi kwa kuwaingilia
Mkuu hiyo inshu ya kiswahili kufundishwa SA ikoje sasa?? Tenda ipo kwa nan?
 
Tangu lini muungano wa watu fukara ukadumu.Haya mambo tuwaachie wazungu wa EU tu lakini siyo sisi wa shithole countries. Kuna wajinga bado walikuwa wanafikiria eti tuwe na United states of Africa.Vinchi vinne tu tayari matatizo ndio ije nchi zaidi ya 50.
Changamoto kama hizi zipo karibia kila muungano...stop behave like a kidult
 
Kila mtu akae kwao...ndio tuone nani mwanaume...manina hta toothpick hatutowauzia tena...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie watu mna ubaguzi sana...sijui mngekuwa wazungu ingekuwaje..hamna utofauti na wale zulus wa SA...but just to remind u ninyi hamuwezi survive bila bongo...mnaleta jeuri sababu hayajatokea bado...eti will u survive with that toothpick... ambazo zikizilwa zinachomwa moto[emoji23]
 
Back
Top Bottom