Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Acha yafarakane yenyewe kwa yenyeweNi mbunge wa Mlimba ndugu Kunambi ambapo amelalamika kwa spika kwa kuitwa mbunge njuka na mbunge asiye na chama chochote aitwaye Halima Mdee , lugha ambayo imeonekana ya kuudhi na isiyokubalika ndani ya bunge
Kwani Bunge linaendelea sasa hivi..?Ni mbunge wa Mlimba ndugu Kunambi ambapo amelalamika kwa spika kwa kuitwa mbunge njuka na mbunge asiye na chama chochote aitwaye Halima Mdee , lugha ambayo imeonekana ya kuudhi na isiyokubalika ndani ya bunge
Swali bovu sanaKwani Bunge linaendelea sasa hivi..?
Naiona dalili fulaniUkiona Hivyo Kunakaribia Kucha Sasa Hivi
Tayari Wanauliza Mdudu Kaingiaje Ndani Ya Kokwa La Embe?😆😃😂😁😀😅
Baadaye COVID 19 Wata 🚮
Hapana. Kuna kikundi cha wanaccm wamekusanyika Dodoma kujadili madudu ya aliyekuwa mwenyekiti wao.Kwani Bunge linaendelea sasa hivi..?
Ila Magufuli anaaibika jamani .... kuna wakati najaribu kumhurumia lakini mwili unakataa kabisa hasa ninapowakumbuka wahangaHapana. Kuna kikundi cha wanaccm wamekusanyika Dodoma kujadili madudu ya aliyekuwa mwenyekiti wao.
Ila Magufuli anaaibika jamani .... kuna wakati najaribu kumhurumia lakini mwili unakataa kabisa hasa ninapowakumbuka wahanga
Aiseeee !!Ndiyo maana anaitwa mwendazake... Tafsiri ya mwendazake ni mtu asiyependwa na aliyekufa kifo dhalili.
Mtukufu Ndugai ndiye ajuayeHivi kumbe sheria yetu inaruhusu kuwa mbunge bila chama maana sikujua hilo
Wabunge wa Magufuli na Mahela hao.
Yaani umeongea kama mimi kabisa. Mwaka 2015 nikipiga kura Jimboni kwetu Iramba yaani nilimpigia kura kwa nguvu zote - Mwaka jana bhana - pamoja na kuwa name ni MCCM mkono wangu uligoma kabisa kutick pale kwake. Kumbe Mwenyezi Mungu alikuwa ananielekeza nisiwe MNAFIKI!Ila Magufuli anaaibika jamani .... kuna wakati najaribu kumhurumia lakini mwili unakataa kabisa hasa ninapowakumbuka wahanga
Mlivyo na mambo ya kike Sasa.Acha yafarakane yenyewe kwa yenyewe