Mbunge Godwin Kunambi amvaa Halima Mdee bungeni

Mbunge Godwin Kunambi amvaa Halima Mdee bungeni

Ila Magufuli anaaibika jamani .... kuna wakati najaribu kumhurumia lakini mwili unakataa kabisa hasa ninapowakumbuka wahanga
Mkuu JPM haji kuaibika na wala hatoaibika kamwe.

Muda utaongea.
 
Ni mbunge wa Mlimba ndugu Kunambi ambapo amelalamika kwa spika kwa kuitwa mbunge njuka na mbunge asiye na chama chochote aitwaye Halima Mdee , lugha ambayo imeonekana ya kuudhi na isiyokubalika ndani ya bunge
Khee..!!! Kumbe nao wanajuwa kuwa kuna wabunge wasio na vyama na wala hawakuteuliwa na Rais kama BASHIRU..??? Kwanini sasa wasianzishe hoja binafsi ya kuhoji uhalali wa Wabunge wa namna hiyo? NJUKA NI NJUKA TU..
 
Aibu mojawapo ndo hii ya hao wabunge kutokuwa wa chama chochote na wala kuteuliwa na rais, lakini wapo bungeni..
Kama akili yako na wenzio mnatafsiri ni aibu ya JPM hiyo poleni sana.

Tafuteni msaada.

Kwanini isiwe aibu yenu ninyi nasi vichwa maji?
 
Back
Top Bottom