Mbunge Godwin Kunambi amvaa Halima Mdee bungeni

Wote ni Wabunge wa viti maalum hadi spika kwa hisani ya Mwendazake
 
Kweli kabisa, upo sahihi, hakuna wa kibisha
 
Njuka wa JPM utawajua tu.... Wanajitutumua ili waonekane wapo pale kihalali.
 
Ila Magufuli anaaibika jamani .... kuna wakati najaribu kumhurumia lakini mwili unakataa kabisa hasa ninapowakumbuka wahanga
Pambaneni na hao nduguzenu,
C 19.
Muache shujaa wa Afrika apumzike.

Magu kazizake nzuri zitambeba milele.

Nyiewote njaatu ndio zinawasumbua na wewe siku ukipata ulaji utakuwa kama hao c19.
Mimi pia ñilikuwa namuamini sana halima lakini kumbe njala likoko niswala la mudatu.
 
Halima kapwaya nimeshindwa hata kumsikiliza. Angekuwa anakaa kimya tu
Kweli lazima apwaye.. Kwenye siasa lazima uwe na kile kinaitwa constituency .. Hicho kinakupa uhalali.. Sasa wakiangalia mzee mdee ni jibu.. Kwa maana nyingine , wanamwambia ... tutakushughulikia kwa ubunge wa kupewa ...
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…