PreGE2025 Mbunge Gulamali: Tunamuomba Sana Rais Samia Amteue Tena Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,430
Mbunge wa Jimbo la Manonga Mkoani Tabora Seif Khamis Gulamali ameitaka Serikali kutosita kuchukua mikopo kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini Tanzania, akieleza kuwa deni la Taifa ambalo limetajwa kuwa ni Tsh. trilioni 97 bado ni himilivu na la chini kulinganisha na Mataifa mengine ya Afrika mashariki.

Gulamali amesema hayo jana Alhamisi April 10, 2025 wakati akichangia maoni yake kuhusu Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka 2025/26, akimsifu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa usimamizi mzuri wa shughuli za Serikali tangu kuteuliwa kwake kuwa Waziri Mkuu, miaka kumi iliyopita.

Gulamali amesema ziara mbalimbali za Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ikiwemo ziara yake ya hivi karibuni aliyoifanya Wilayani Igunga Mkoani Tabora imekuwa na neema kwa Wananchi, akimuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuendelea nae kama Waziri Mkuu mara baada ya uchaguzi wa Oktober 2025.

Raisi aachwe atengeneze timu yake ya kuanzia madiwani na wabunge
Anahitaji timu aitakayo anayojua itaenda na atakavyo

Team Majaliwa msimpangie Raisi nini cha kufanya
 
Mbunge wa Jimbo la Manonga Mkoani Tabora Seif Khamis Gulamali ameitaka Serikali kutosita kuchukua mikopo kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini Tanzania, akieleza kuwa deni la Taifa ambalo limetajwa kuwa ni Tsh. trilioni 97 bado ni himilivu na la chini kulinganisha na Mataifa mengine ya Afrika mashariki.

Gulamali amesema hayo jana Alhamisi April 10, 2025 wakati akichangia maoni yake kuhusu Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka 2025/26, akimsifu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa usimamizi mzuri wa shughuli za Serikali tangu kuteuliwa kwake kuwa Waziri Mkuu, miaka kumi iliyopita.

Gulamali amesema ziara mbalimbali za Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ikiwemo ziara yake ya hivi karibuni aliyoifanya Wilayani Igunga Mkoani Tabora imekuwa na neema kwa Wananchi, akimuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuendelea nae kama Waziri Mkuu mara baada ya uchaguzi wa Oktober 2025.

Kwahiyo hatayeye hafai kuwa waziri mkuu wananchi waliomchagua wajithamini
 
Majaliwa ametuchosha, kakaa muda mrefu, halafu falsafa ya kazi na utu haiwezi, amezoea utawala wa kikatili
 
Mbunge wa Jimbo la Manonga Mkoani Tabora Seif Khamis Gulamali ameitaka Serikali kutosita kuchukua mikopo kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini Tanzania, akieleza kuwa deni la Taifa ambalo limetajwa kuwa ni Tsh. trilioni 97 bado ni himilivu na la chini kulinganisha na Mataifa mengine ya Afrika mashariki.

Gulamali amesema hayo jana Alhamisi April 10, 2025 wakati akichangia maoni yake kuhusu Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka 2025/26, akimsifu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa usimamizi mzuri wa shughuli za Serikali tangu kuteuliwa kwake kuwa Waziri Mkuu, miaka kumi iliyopita.

Gulamali amesema ziara mbalimbali za Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ikiwemo ziara yake ya hivi karibuni aliyoifanya Wilayani Igunga Mkoani Tabora imekuwa na neema kwa Wananchi, akimuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuendelea nae kama Waziri Mkuu mara baada ya uchaguzi wa Oktober 2025.

So you can continue to steal? Useless people!
 
Back
Top Bottom