Mbunge huyu aliwahi kumshauri Balozi Mulamula kuboresha sera ya Mambo ya Nje kipindi alipojuwa Waziri wa Mambo ya Nje

Huyo mbung'o takataka chawa mkubwa kujipendekeza inamhuhusu nini??
 
CCM bwana. Haya mambo wangeweza kuyamaliza katika vikao vyao vya ndani vya Halmashauri ya Chama sisi tukaona utekelezaji tu.

Tatizo la CCM wanataka wao ndiyo wawe watawala, wao wenyewe wawe wapinzani, wenyewe wawe wajamaa, wenyewe wawe mabepari, wenyewe wawe wazalendo, wenyewe wawe magaidi. Hakuna kitu kama hicho.

Chagueni njia mnayoamini, mkishindwa kaeni pembeni.
 
Mimi namuona huyu mchambaji tu, mambo anayoongea yanamuhusu Rais ambaye ndiye mwanadiplomasia namba moja na Waziri anatekeleza maagizo ya Rais.

Hivi Waziri ana mamlaka ya kufanya ratification ya mkataba wa nchi bila idhini ya Rais?

Angejikita kwenye maboresho ya huduma za Balozi zetu ughaibuni maana zinalalamikiwa mno.
 
Haya mambo kweli ni ya kizamani na Waziri yupo tuu anazurula huko Nje huku mambo ya msingi kama haya anayaacha.
Yaani ungejua kuwa teuzi za hapa kwetu ni sawa ni ule mchezo wa sandakalawe tu wala hakuna anayezingatia uwezo wa mtu, na ndio maana unaona teuzi ni za watu wale wale.

Sasa niambie waziri Kairuki ana ubunifu gani mpya ambayo ataueta kwenye wizara hiyo? Amekuwa waziri kwa miaka mingapi na kuna jipya lipi alilifanya?!! Haya huyo waziri mpya wa ulinzi.
 
Salaam,

Critique ya mjumbe huyu Bungeni ilikuwa nzito kweli - hata kama aliagizwa kuyawasilisha?

Huu sasa ni unafiki. Waziri wa Mambo ya nje anahusika vipi na domestic violence? Au alitaka Mulamula awe anazipiga sopu taarifa anazoletewa na wizara nyingine pamoja na asasi za kiraia kabla ya kuziweka kwenye taarifa yake?

Na kweli mbunge anaamini kujitoa au kujiunga kwenye Mahakama anayozungumzia inategemea utashi wa waziri na sio wa aliyemteua? Akifanya hivyo si ndio atakuwa amevuka mipaka yake? Anamuonea tu huyu waziri.

Amandla...
 
😅😅
 
Tz kuna uchawi sana
 
Salaam,

Critique ya mjumbe huyu Bungeni ilikuwa nzito kweli - hata kama aliagizwa kuyawasilisha?

Duuh ndiyo utegemee nchi kujitegemea kwa mawazo kama haya ya watu tegemezi jinsi hii? Anadharau pesa za machinga anatukuza pesa zilizoibwa kijanja na weupe kisha zinarudishwa kwa njia ya mikopo yenye kamba za kikoloni? What a poor mind? Mungu tunusuru na akili kama hizi kuwa ndiyo eti wafanya maamuzi wetu. Yeye badala ya kifikiri jinsi hao machinga wanaweza toa hizo trillions kupitia resources zilizopo anaangalia vinavyoelewa asijue viliundwaje?

Bi dada taswira unayotupa inatisha sana...Kama itatokea wewe ndiyo huyo unaenda ku review hizo sera basi tutegemee kupigwa tu.....Mungu saidia nchi yangu, tupe watu ambao wataijenga nchi hii sustainably na utusaidie kuondoa vibaraka kama hawa

Hakuna kitu kibaya kama mtu ignorant akaeleza ignorance yake hadharani huku akijua hiyo ndiyo akili, maana wahivyo hata ukimwelewesha hataweza kuelewa maana...I pray we get out of this mess ya watu ambao kwanza ni wavivu wa kufikiri na kudhani ukipewa trillions you can create wealth...Ukiwa masikini hata hizo trillions zitageuka kuwa anasa na in a very short time utajikuta umekuwa masikini kuliko ilivyokuwa kwanza....Wealth inajengwa na ideas na siyo hayo makaratasi yaliyoandikwa na westerners...Na hizo haziji kama sadaka zimejengwa kuwa attracted na wale tu wana chaku exchange ideas ikiwa njia bora sana ya kuzivuta ndiyo sababu huoni wakiwa na ardhi ya kutosha wala rasilimali bali hayo makaratasi yamejaa kwao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…