Changalucha
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 508
- 595
Tatizo la wawakilishi wetu badala ya kushauri nini kifanyike ni kusagiana kunguni tu.Salaam,
Critique ya mjumbe huyu Bungeni ilikuwa nzito kweli - hata kama aliagizwa kuyawasilisha?
Tatizo la wawakilishi wetu badala ya kushauri nini kifanyike ni kusagiana kunguni tu.Salaam,
Critique ya mjumbe huyu Bungeni ilikuwa nzito kweli - hata kama aliagizwa kuyawasilisha?
Hao wote hawakuchaguliwa na wananchi. Waliteuliwa na Mwendazake. Mlaumu mwendazake maana alitaka watu kama hao ili wabadili katiba aweze kutawala milele....Inasikitisha mno tunakuwa na mindset za aina hii bungeni.
Badala ya mbunge kutetea wananchi wa jimbo lake wawezeshwe kiuchumi ili washiriki kwenye uzalishaji.
Anaishia kutetea wageni kuja kutumia rasilimali zetu.
Tuna kosea sana kuchagua viongozi wetu.
Wanatugharimu kama Taifa na watu wa aina hii wataifanya nchi hii iendelee kuwa maskini miaka mingi ijayo.
Ni kweli, lakini, Bado tuna mitihani mikubwa katika kuuweka mustakabali wa taifa katika mwelerkeo sahihi. Tunakosea wapi?????Inasikitisha mno tunakuwa na mindset za aina hii bungeni.
Badala ya mbunge kutetea wananchi wa jimbo lake wawezeshwe kiuchumi ili washiriki kwenye uzalishaji.
Anaishia kutetea wageni kuja kutumia rasilimali zetu.
Tuna kosea sana kuchagua viongozi wetu.
Wanatugharimu kama Taifa na watu wa aina hii wataifanya nchi hii iendelee kuwa maskini miaka mingi ijayo.
Mifumo ya utawala? Elimu tuayopeana vyuoni? Namna tunavyopata viongozi? Namna tunavyowatumia wataalam, ama tunawaogopa wataalam? Shida iko wapi?Watanzania tunahitaji sana kuwa na negotiation skills na kuacha kutafuta majibu mepesi kwenye maswali magumu...Tumeshanyonywa vyakutosha kwakuwa hatutumii the same level of knowledge kwenye negotiations....Wenzetu wana invest kwenye kupata watu ambao wapo knowledgeable kwenye hizo expertize na wana full understanding ya the concept ili waweze kufaidika, sisi tunaangalia kwa jujuu faida bila kuangalia kama discounting factors zetu ni bound kwenye povert mentality ya high time preferences ambazo bi dada ameziweka hadharani kwa uwazi kabisa...She wants her benefit now kushibisha njaa ya siku moja na kusahau hata kesho bado njaa itauma...Anatumia common sense kuelewa notes alizopewa ama kwakujua au kutojua badala ya expertize kuelewa what it meant kwa proposal yake hiyo kwenye bigger picture ya future ya nchi hii na maendeleo yake
Kama una i fluence kwa nchi hii basi tutasubiri sana....Nakusihii sana zaidi ya mazoea learn to consult experts, mnaiharibu sana sana nchi yetu na mnatoa ushauri ambao umeambatanishwa na fikra za kikoloni simply because you have been indocrinated with those ideas through your trainings and working environment...huyo dada kapewa notes zenye maslahi ya watu wa nje. Be calm and read your notes....Foreign investiments ambazo haziwezeshi wazawa ni hasara bora tuendelee kutoza machinga hizo pesa iff at all hatuwezi kuwa link na hao investors waweze ku upgrade out puts zao ziweze kulipa kodi stahiki kama tax payers wa nchi hii...what you want is to increase national incomes at the expenses of percapita income ya citizen ambayo ndiyo ina impact kwenye GDP...Tutaonekana kisiasa tumeendelea kama nchi jirani ya Kenya yet the whole share is enjoyed elsewhere outside this continent not only the country which produces that wealth
Usifanye spinning, waziri alitala ku comply na mbunge lakini akatofautiana na baraza,Salaam,
Critique ya mjumbe huyu Bungeni ilikuwa nzito kweli - hata kama aliagizwa kuyawasilisha?
Waziri ndiye msimamizi mkuu wa mikataba inayohusu sekta yake. Yeye ndiye anayesimamia kupeleka kwenye Baraza la Mawaziri na Bungeni.Hivi Waziri ana mamlaka ya kufanya ratification ya mkataba wa nchi bila idhini ya Rais?
Yote hato yakijibiwa atleast tutakuwa na appropriate ways ya kusaidia nchi zetu za AfricaMifumo ya utawala? Elimu tuayopeana vyuoni? Namna tunavyopata viongozi? Namna tunavyowatumia wataalam, ama tunawaogopa wataalam? Shida iko wapi?
Watanzania tunahitaji sana kuwa na negotiation skills na kuacha kutafuta majibu mepesi kwenye maswali magumu...Tumeshanyonywa vyakutosha kwakuwa hatutumii the same level of knowledge kwenye negotiations....Wenzetu wana invest kwenye kupata watu ambao wapo knowledgeable kwenye hizo expertize na wana full understanding ya the concept ili waweze kufaidika, sisi tunaangalia kwa jujuu faida bila kuangalia kama discounting factors zetu ni bound kwenye povert mentality ya high time preferences ambazo bi dada ameziweka hadharani kwa uwazi kabisa...She wants her benefit now kushibisha njaa ya siku moja na kusahau hata kesho bado njaa itauma...Anatumia common sense kuelewa notes alizopewa ama kwakujua au kutojua badala ya expertize kuelewa what it meant kwa proposal yake hiyo kwenye bigger picture ya future ya nchi hii na maendeleo yake
Wewe una ubunifu gani?Yaani ungejua kuwa teuzi za hapa kwetu ni sawa ni ule mchezo wa sandakalawe tu wala hakuna anayezingatia uwezo wa mtu, na ndio maana unaona teuzi ni za watu wale wale.
Sasa niambie waziri Kairuki ana ubunifu gani mpya ambayo ataueta kwenye wizara hiyo? Amekuwa waziri kwa miaka mingapi na kuna jipya lipi alilifanya?!! Haya huyo waziri mpya wa ulinzi.
Yaah kwenye skills za ku negotiate hiyo inaruhusiwa, lakini kama tu haihusishi kukutana tena na huyo mhusika....Mfano umekutana na jambazi na unataka umponyoke, ila kwa case kama yake hiyo ina maswali zaidi, maana unaondoa TRUST ambayo ni sehemu ya sustainability kwenye biashara kama hiyo...Context matters a lot..Ni kama Prof.Kabudi alivyowakabili Barrick na madai ya usd 191 billion.
..Prof anadai madai hayo kanyaboya yalikuwa ni " mbinu " ya majadiliano.
Kweni lini viongozi hawa walichaguliwa na tume huru?Inasikitisha mno tunakuwa na mindset za aina hii bungeni.
Badala ya mbunge kutetea wananchi wa jimbo lake wawezeshwe kiuchumi ili washiriki kwenye uzalishaji.
Anaishia kutetea wageni kuja kutumia rasilimali zetu.
Tuna kosea sana kuchagua viongozi wetu.
Wanatugharimu kama Taifa na watu wa aina hii wataifanya nchi hii iendelee kuwa maskini miaka mingi ijayo.
kwenye shughuri zangu za kilimo mbona ubunifu mwingi tu,huwezi uona wee!!kwani sio shughuri za umma!!wewe miaka yote amekuwa waziri wa wizara mbali mbali lakini hakuna kitu,na sio kama ni yeye tu,karibia wote tu,kuna waziri kama lukuvi angalau akiongoza wizara utaona kuna kitu lakini,...Haya niambie eti Hawa gasia naye kwa sasa ni mwenyekiti wa bodi MSITU MPYA NYANI WALE WALE,TU,mabadiriko mtayatafuta kwa torch.Wewe una ubunifu gani?
Pole sanakwenye shughuri zangu za kilimo mbona ubunifu mwingi tu,huwezi uona wee!!kwani sio shughuri za umma!!wewe miaka yote amekuwa waziri wa wizara mbali mbali lakini hakuna kitu,na sio kama ni yeye tu,karibia wote tu,kuna waziri kama lukuvi angalau akiongoza wizara utaona kuna kitu lakini,...Haya niambie eti Hawa gasia naye kwa sasa ni mwenyekiti wa bodi MSITU MPYA NYANI WALE WALE,TU,mabadiriko mtayatafuta kwa torch.
Yaah kwenye skills za ku negotiate hiyo inaruhusiwa, lakini kama tu haihusishi kukutana tena na huyo mhusika....Mfano umekutana na jambazi na unataka umponyoke, ila kwa case kama yake hiyo ina maswali zaidi, maana unaondoa TRUST ambayo ni sehemu ya sustainability kwenye biashara kama hiyo...Context matters a lot