Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,051
- 51,217
Inasikitisha mno tunakuwa na mindset za aina hii bungeni.
Badala ya mbunge kutetea wananchi wa jimbo lake wawezeshwe kiuchumi ili washiriki kwenye uzalishaji.
Anaishia kutetea wageni kuja kutumia rasilimali zetu.
Tuna kosea sana kuchagua viongozi wetu.
Wanatugharimu kama Taifa na watu wa aina hii wataifanya nchi hii iendelee kuwa maskini miaka mingi ijayo.