Mbunge huyu aliwahi kumshauri Balozi Mulamula kuboresha sera ya Mambo ya Nje kipindi alipojuwa Waziri wa Mambo ya Nje

Inasikitisha mno tunakuwa na mindset za aina hii bungeni.

Badala ya mbunge kutetea wananchi wa jimbo lake wawezeshwe kiuchumi ili washiriki kwenye uzalishaji.

Anaishia kutetea wageni kuja kutumia rasilimali zetu.

Tuna kosea sana kuchagua viongozi wetu.

Wanatugharimu kama Taifa na watu wa aina hii wataifanya nchi hii iendelee kuwa maskini miaka mingi ijayo.
 
Reactions: Ame
Anamlaumu kwa kutofanyiwa mabadiliko hizo sheria na hasa wa kulaumiwa hapo ni Samia.
The whole idea ya review is wrongly conceived nawashauri sana wasiifuate hiyo njia yake, huyo mtu anaonekana kapewa notes ambazo amashindwa kuzi decode....Mtu yeyote ambaye ana critical thinking anajua kabisa huyo katumwa na beneficiaries wa resources zilizopo...Wanataka sheria inayolinda rasilimai zetu ile sheria ya kizalendo ifutwe ili wafanye yao...She is an urgent ila sina uhakika hata kama anajua kama anatumiwa...
 
Uwekezaji haujawahi kuwa mbaya kama tu unafaidisha watanzania.... The question is how do you make it profitable for watanzania? Sasa huwezi kubadili swali la mtihani kulifanya liwe rahisi ili wewe utambe kuwa umepata 100% kumbe umeleta maswali ya darasa la kwanza kwa level ya darasa la saba...Ndicho anachotaka huyo bidada
 
Your browser is not able to display this video.

Huyu Dada anaitwa nani? Yuko smart sana, kwanini asipewe fursa ya Uwaziri wa mambo Nje.

Hii Nchi huenda inawatu makini sana lakini hawatumiwi.

Mulamula anaonekana alikuwa ni mtu wa Shopping tu huko London na New York.
 
Yeye badala ya ku analyse ni vipi foreign policy ita attract transfer of technology kwa price yake halisi tofauti na ilivyo sasa (ipo inflated), ambayo itakuwa cheaper kuliko resources value tulizo nazo ili benefit iwe enjoyed na watanzania (i.e sheria ya umiliki ina wezesha hilo), anataka kupunguza costs za investors na kurahisisha njia yao ya kuchukua faida ya watanzania ili iwe yao na sisi tubakie na makombo yanayodondoka kutoka kwenye meza ya "wakuu"

Daah kwa watu wa namna yake basi cry Africa for your salvation is afar!
 
Kama hiki ndichokilichomwondoa mama balozi basi she is very intelligent na ametoa sadaka njema sana kwa taifa lake...Unless otherwise kama ni kingine basi tusitumie huu utopolo kum disqualify....Ujinga wa hii idea upo so open huhitaji akili kung'amua hawa ni ma agent wa watu ambao niwafaidika wa mifumo mibovu na wamezibiwa hizo mianya ya kufaidika kisheria so wanaogopa watakamatwa mchana kweupe na wizi wao once watu wenye akili wakiwa katika positions hitajika kuwawajibisha iwapo watapewa hiyo nafasi siku yeyote.
 
And so funny anakiri hakuna mikataba iliyoletwa kama sheria inavyohitaji, badala ya kukomaa kuuliza why? Anataka kusaidia isiletwe, wa hivi huko nchi ya watu wenye macho madogo wanafanyiwa kitu mbaya hadharani ili iwe fundisho na mfano kwa wooote wenye umamluki kama huu...Hawa ni enemies of state, wasichekewe wakaripiwe kwa sauti kali kabisaaa....Na wajue watanzania wa leo siyo mbumbumbu kihivyo
 
View attachment 2378454
Huyu Dada anaitwa nani? Yuko smart sana kwanini asipewe fursa ya Uwaziri wa mambo Nje.

Hii Nchi huenda inawatu makuni sana lakini hawatumiwi.

Mulamula anaonekana alikuwa ni mtu wa Shopping tu huko London na New York.
Smart? Kwa lipi kwamfano? Duuh mie nilikuwa nawatetea watanzania wenzangu kuwa siyo mbumbu tena kumbe kuna mwingine anaona ni smart? Godforbid...Learn to read things in between lines!
 
Watanzania tunahitaji sana kuwa na negotiation skills na kuacha kutafuta majibu mepesi kwenye maswali magumu...Tumeshanyonywa vyakutosha kwakuwa hatutumii the same level of knowledge kwenye negotiations....Wenzetu wana invest kwenye kupata watu ambao wapo knowledgeable kwenye hizo expertize na wana full understanding ya the concept ili waweze kufaidika, sisi tunaangalia kwa jujuu faida bila kuangalia kama discounting factors zetu ni bound kwenye povert mentality ya high time preferences ambazo bi dada ameziweka hadharani kwa uwazi kabisa...She wants her benefit now kushibisha njaa ya siku moja na kusahau hata kesho bado njaa itauma...Anatumia common sense kuelewa notes alizopewa ama kwakujua au kutojua badala ya expertize kuelewa what it meant kwa proposal yake hiyo kwenye bigger picture ya future ya nchi hii na maendeleo yake
 
kazi kweli kweli.this is tanzania the dack country.
Very dark indeed....Inasikitisha sana sana....Wenzetu wanatucheka na wanaendelea kufanya yao wakijua wanafanya transactions na watu wa aina gani....Ni kama wewe mjanja unavyoenda kuuziwa shamba huko rural na wenyeji, tena wanakupa hata bure wakidhani wanafanya ukarimu ili hali kesho wewe ndiyo unakuwa king wao hapo na wao wanafurahia kuwa wame win....Hakuna kitu kibaya kama ignorance!
 
Salaam,

Critique ya mjumbe huyu Bungeni ilikuwa nzito kweli - hata kama aliagizwa kuyawasilisha?

Nimemsikikiza mheshimiwa Mbunge kwa makini nimeelewa sana kuwa tuna safari ndefu sana na hao wasaidizi wa Rais.

Namsihi Rais asiwaonee aibu wala huruma wale ambao hawatimizi wajibu wao. Awaondoe na kuwateua wengine wenye mtazamo na utendaji chanya kwa nchi yetu
 
Machinga wanalipa kodi gani? Hawa wanaolia lia kwa tozo ya 500 kwenye mihamala?
 
Kumbe Mulamula alistahili kutumbuliwa kitambo sana, nilikuwa nafikiri kuwa ameonewa.

Nina hamu nimsikilize na Mulamula mwenyewe upande wake wa stori.
 
Kumbe Mulamula alistahili kutumbuliwa kitambo sana, nilikuwa nafikiri kuwa ameonewa.

Nina hamu nimsikilize na Mulamula mwenyewe upande wake wa stori.
Jana na juzi kuna ziara ya Kamati ya Bunge la Marekani huko Kenya na Rwanda. Hawwjafika kwetu na hilo linaonesha Mulamula hana ushawishi mzuri kwenye kujenga diplomasia ya kiuchumi
 
Jana na juzi kuna ziara ya Kamati ya Bunge la Marekani huko Kenya na Rwanda. Hawwjafika kwetu na hilo linaonesha Mulamula hana ushawishi mzuri kwenye kujenga diplomasia ya kiuchumi
Diplomasia sio kupiga picha tuu,ni zaidi ya hapo.

Afadhali kaonyeshwa mlango bado yule wa Feza.
 
Kwani nani aliyetunga hizo sera hovyo kama siyo nyingi maccm.
 
Kama una i fluence kwa nchi hii basi tutasubiri sana....Nakusihii sana zaidi ya mazoea learn to consult experts, mnaiharibu sana sana nchi yetu na mnatoa ushauri ambao umeambatanishwa na fikra za kikoloni simply because you have been indocrinated with those ideas through your trainings and working environment...huyo dada kapewa notes zenye maslahi ya watu wa nje. Be calm and read your notes....Foreign investiments ambazo haziwezeshi wazawa ni hasara bora tuendelee kutoza machinga hizo pesa iff at all hatuwezi kuwa link na hao investors waweze ku upgrade out puts zao ziweze kulipa kodi stahiki kama tax payers wa nchi hii...what you want is to increase national incomes at the expenses of percapita income ya citizen ambayo ndiyo ina impact kwenye GDP...Tutaonekana kisiasa tumeendelea kama nchi jirani ya Kenya yet the whole share is enjoyed elsewhere outside this continent not only the country which produces that wealth
 
Is better we are to learn what king wa Uarabuni alichokifanya.....Uki attract investors kwa jinsi hiyo its okay lakini sicho kwa jinsi huyo dada anataka...Anaangalia benefits in abslolute terms na siyo kwenye market margins zake as far as GDP is concerned

Na hii ni sababu tuna fanya analyses zinazo kosa inferences, tunapenda sana descriptive statistics tena zenye low quality figures ambazo zipo at nominal scales i.e % tukienda deep tunaishia kwenye ranking tu za 123 etc bila kujali the interval between the 1 and 2 kisha tunapiga makofi na kushangilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…