Mbunge huyu aliwahi kumshauri Balozi Mulamula kuboresha sera ya Mambo ya Nje kipindi alipojuwa Waziri wa Mambo ya Nje

Hao wote hawakuchaguliwa na wananchi. Waliteuliwa na Mwendazake. Mlaumu mwendazake maana alitaka watu kama hao ili wabadili katiba aweze kutawala milele....

Heil Mwendazake!
 
Siasa ndivyo zilivyo na muda unaongea...
 
Ni kweli, lakini, Bado tuna mitihani mikubwa katika kuuweka mustakabali wa taifa katika mwelerkeo sahihi. Tunakosea wapi?????
 
Mifumo ya utawala? Elimu tuayopeana vyuoni? Namna tunavyopata viongozi? Namna tunavyowatumia wataalam, ama tunawaogopa wataalam? Shida iko wapi?
 
Inafikirisha
Lakini yet tunapaswa kujua kuwa hatuwezi kuendelea bila kushirikiana na wenye uhitaji na sisi
 
incompetences at work, nchi imeruhusu watu wengi incompetence kwenye mifumo na vyombo vya maamuzi, matokeo yake hata mtu akiongea mambo ya kawaida ambayo hata huku mtaani na JF watu wanazungumza baasi anaonekana genius.

Sijaona geni hapo zaidi ya wao wabunge kwa pamoja kusimamia vifungu vyote vya hovyo kutolewa na kuacha kupiga blahblah.
 
Hivi Waziri ana mamlaka ya kufanya ratification ya mkataba wa nchi bila idhini ya Rais?
Waziri ndiye msimamizi mkuu wa mikataba inayohusu sekta yake. Yeye ndiye anayesimamia kupeleka kwenye Baraza la Mawaziri na Bungeni.
 
CCM ni kihoja. Siwaelewagi hata siku moja. Sijui ni mzizi gana wanaokula.

Ngoja tuwasubiri CCM wenyewe wajibu hizo hoja. Mimi sipo......
 
Mifumo ya utawala? Elimu tuayopeana vyuoni? Namna tunavyopata viongozi? Namna tunavyowatumia wataalam, ama tunawaogopa wataalam? Shida iko wapi?
Yote hato yakijibiwa atleast tutakuwa na appropriate ways ya kusaidia nchi zetu za Africa
 

..Ni kama Prof.Kabudi alivyowakabili Barrick na madai ya usd 191 billion.

..Prof anadai madai hayo kanyaboya yalikuwa ni " mbinu " ya majadiliano.
 
Wewe una ubunifu gani?
 
..Ni kama Prof.Kabudi alivyowakabili Barrick na madai ya usd 191 billion.

..Prof anadai madai hayo kanyaboya yalikuwa ni " mbinu " ya majadiliano.
Yaah kwenye skills za ku negotiate hiyo inaruhusiwa, lakini kama tu haihusishi kukutana tena na huyo mhusika....Mfano umekutana na jambazi na unataka umponyoke, ila kwa case kama yake hiyo ina maswali zaidi, maana unaondoa TRUST ambayo ni sehemu ya sustainability kwenye biashara kama hiyo...Context matters a lot
 
Kweni lini viongozi hawa walichaguliwa na tume huru?
 
Wewe una ubunifu gani?
kwenye shughuri zangu za kilimo mbona ubunifu mwingi tu,huwezi uona wee!!kwani sio shughuri za umma!!wewe miaka yote amekuwa waziri wa wizara mbali mbali lakini hakuna kitu,na sio kama ni yeye tu,karibia wote tu,kuna waziri kama lukuvi angalau akiongoza wizara utaona kuna kitu lakini,...Haya niambie eti Hawa gasia naye kwa sasa ni mwenyekiti wa bodi MSITU MPYA NYANI WALE WALE,TU,mabadiriko mtayatafuta kwa torch.
 
Pole sana
 

..barrick wana uzoefu mkubwa sana ktk sekta ya madini. They have been in the game for a very long time.

..ukikabiliana nao ukiwa na madai kama yale ya kodi ya usd 191 billion ambayo haya make sense unakuwa umeji-expose kuwa you are not well informed.

..Na mchezo waliofanya barrick ni kutudanganya kwamba wao ni wasafi na Acacia ndio wabaya na waliotuibia.

..Barrick ndio walioanzisha Acacia. Pia walikuwa majority shareholders. Kama Acacia walitudhulumu, basi mfaidika mkubwa wa dhuluma hiyo alikuwa Barrick.
 
Reactions: Ame
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…