Mbunge huyu aliwahi kumshauri Balozi Mulamula kuboresha sera ya Mambo ya Nje kipindi alipojuwa Waziri wa Mambo ya Nje

Waliomfanyia vetting kabla hawajapeleka Jina lake kwa Rais walitumia vgezo gani, maana alishagawahi kuwa hapo kipindi cha JK
Hajawahi kuwa na uwaziri wowote kipindi cha JK, kipindi cha JK waziri wa mambo
ya nje alikuwa Ashar-rose Migiro kwa kipindi kifupi na baadaye akateuliwa Benard Membe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…