Mbunge Jaguar kujipeleka polisi - hivi mbona Watanzania ndio wamecharuka sana japo wengine walitajwa

na w

Na wewe sijui umeishakula mirungi? kinachoongelewa hapa ni raia walioingia nchi jirani with permit. Hawa ndio unaweza kuwatetea, lakini wanaoingia nchi jirani bila permit, hawa linalowakuta ni wao watajijua.

Watanzania wasiokua na vibali wakianza kukusanywa huku watajaza mkoa mzima, tunaishi kwa kuvumiliana.....
Msumbiji walikua wanachana vibali vya Watanzania, fuatilia taarifa zote vizuri.
 
Watanzania wasiokua na vibali wakianza kukusanywa huku watajaza mkoa mzima, tunaishi kwa kuvumiliana.....
Msumbiji walikua wanachana vibali vya Watanzania, fuatilia taarifa zote vizuri.
Huku pia wakenya msio na vibali mmejazana sana tu na hatuwagusi hata
 
Kukemea ubaguzi ni hulka ya binadamu yeyote mwenye akili timamu hata kama hauthiriki nao,Makaburu walipingwa hata na Wazungu wenzao wenye akili,Watanzania wana historia ya kukemea ukandamizaji unlike Kenyans na ndio maana wapigania Uhuru wengi walilelewa Tanzania na hata Raila alipewa passport ya Kitanzania kwa mantiki hiyo hiyo
 
Hao Msumbiji mko nao kwenye SADC ambayo huwa mnasema ndio ndugu wenu zaidi, ila huwa hawawataki huko, sisi huku tumeruhusu hadi omba omba wenu wamejaa pembeni mwa barabara zetu na hakuna anayeulizwa kitu. Tazama hii video

Haiingii akilini kuona mtu mwenye akili timamu anatetea ubaguzi na chuki katika jamii eti kwasababu majirani wengine nao walifanya hivyo

binafsi naingia na kutoka kenya kila mara nina marafiki wakenya wanaofanya biashara Tanzania kwa muda mrefu hakuna anayewasumbua hapa Tz na wanatupongeza kwa ukarimu wetu kwao.

Inashangaza kuona kauli za kibaguzi vitisho zinatolewa na kiongozi halafu serikali imekaa kimya maana yake kauli hiyo ina baraka za serikali.
 
Umeshakula mirungi tayar sio bure
 
Kenya hamna lolote la kututisha sisi na mnatutegemea zaidi kuliko tunavyowategemea wanafiki wakubwa ninyi na dhulumati wa mali zetu za EAC
 
jiwe alfurahia kupiga mnada ngombe kule namanga pamoja vifaranga! nasema wachagga wa gikomba walambwe tu nao waliskie joto la jiwe..

View attachment 1138921View attachment 1138922View attachment 1138923
kwa hiyo kama jiwe alipiga mnada ng'ombe zenu mumeona adhabu pekee ni kuwafurusha watz kenya?. akili za kijinga sana hizo.

ila nimefurahi kuona serikali ya kenya ikisema kauli ya jaguar siyo kauli ya serikali ya kenya, ni kauli yake binafsi. wamemuacha afe na zigo lake. [emoji16][emoji16]
 

Wewe nawe umekurupuka baada ya kuvimbiwa ubwabwa, serikali gani imekaa kimyaa, tangu jana serikali imetoa tamko na kumkana mbunge huyu, pia amekamatwa leo na kuwekwa lock up https://www.kenyans.co.ke/news/41074-jaguar-arrested-outside-parliament-buildings
 
Matusi sio suluhisho mkuu, sikulaumu kwasababu nimeshaelewa kiwango cha ustaarabu na uelewa wako.
Naelewa vizuri kinachoendelea

Nilichomaanisha ni kwamba kudelay kwa serikali ya Kenya kuchukua hatua ndio chanzo cha jambo hilo kupewa uzito mkubwa.
 
Hao Msumbiji mko nao kwenye SADC ambayo huwa mnasema ndio ndugu wenu zaidi, ila huwa hawawataki huko, sisi huku tumeruhusu hadi omba omba wenu wamejaa pembeni mwa barabara zetu na hakuna anayeulizwa kitu. Tazama hii video

kuhusu ombaomba huo ni mradi wa wakenya.

wapo wakenya miongoni mwenu wanaofaidika na hao ombaomba.

ndio maana mpaka leo hamjachukua hatua yoyote madhubuti ya kuwakamata na kuwarejesha tz.
 
Ni km vile waganda jaguar kawataja lkn jamaa hawaku mind...lkn ccm..weeee...mpka bungeni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Ungekuwa una akili ungejua kuwa tatizo sio kilichoongelewa tu bali ni nani ameongea. Jaguar anajulikana bongo kitambo na juzi tu alikuwa Tanzania, kwa mtu kama yeye kutoa hate speech inashangaza na ukitaka kulijua hili; hata celebrities wa Tanzania wameliongelea pia na si kwa sababu ni KENYA bali limetamkwa na mtu ambaye hawakumtarajia.

Usitafute sababu za ku-play victim. Jamaa kazingua pamoja na hao wakenya waliomshangilia yaani wameonesha dhahiri walivyo xenophobic. Just swallow your Kenyan Ego and pride for once in your life time mkuu
 
Wala hatuna haja ya kuja kenya,kilichotufanya tukomalie ni kwamba tulishapata sababu ya kutimua nyang'au wote walioko TZ,yan ingekua raha sana
 
Kenya hamna lolote la kututisha sisi na mnatutegemea zaidi kuliko tunavyowategemea wanafiki wakubwa ninyi na dhulumati wa mali zetu za EAC
Tatizo toothpick unatumia za kenya
 
Tunajua chuki ya wakenya kwa watz. Hivo hao wengine walikuwa wametajwa tu kuzuga ila hapo mlengwa ni mbongo. Ni Kama ilivyo south, wageni wanapigwa lkn mlengwa mkuu ni mnaijeria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…