Mbunge Jesca Kishoa aliyefukuzwa CHADEMA, aibukia mkutano wa CCM na kuhutubia

Mbunge Jesca Kishoa aliyefukuzwa CHADEMA, aibukia mkutano wa CCM na kuhutubia

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kutoka Singida Mmoja wa Wabunge wasio na chama waliotimuliwa Chadema kwa Tuhuma za Usaliti, Jessica Kishoa amefumwa kwenye Mkutano wa hadhara wa CCM, uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Bwana Chongolo.

Kishoa akihutubia mkutano huo wa hadhara wa ccm alianza na maneno haya, nanukuu " CCM oyeee. Kidumu chama cha Mapinduzi, Samia Oyeee" Mwisho wa kunukuu.

Mara zote sisi tumeandikika humu na kwingine kwamba, hawa mamluki wakiongozwa na Halima Mdee wamenunuliwa na ccm, lakini kuna Wajinga wanabisha, sasa hiki kinachotokea ni nini?

---
MBUNGE Viti Maalum, aliyefukuzwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Jesca Kishoa, ameibuka katika mkutano wa hadhara wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuwataka wananchi wameuunge mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, akisema anaiendesha nchi vizuri.

Screenshot_2023-07-24-13-19-25-1.jpg
 
Ndiyo maana, baadhi ya watu walimshangaa Mbowe kumwamini Samia. Wanawake wanaweza sana unafiki.

Ana uwezo wa kukuonesha anakupenda sana, na wakati huo huo akawa anafanya vioja.

Ukimchunguza kwa umakini Samia, ni vigumu sana kumwamini. Ana uwezo wa kuuma na kupuliza zaidi ya Kikwete.
 
Ndiyo maana, baadhi ya watu walimshangaa Mbowe kumwamini Samia. Wanawake wanaweza sana unafiki. Ana uwezo wa kukuonesha anakupenda sana, na wakati huo huo akawa anafanya vioja.

Ukimchunguza kwa umakini Samia, ni vigumu sana kumwamini. Ana uwezo wa kuuma na kupuliza zaidi ya Kikwete.
Huu uzi ni wa Mrs Kafulila wewe umekazana na mh Rais.

Acha Hizo bwashee!
 
Kutoka Singida Mmoja wa Wabunge wasio na chama waliotimuliwa Chadema kwa Tuhuma za Usaliti , Jessica Kishoa amefumwa kwenye Mkutano wa hadhara wa ccm , uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho , Bwana Chongolo .

Kishoa akihutubia mkutano huo wa hadhara wa ccm alianza na maneno haya , nanukuu " CCM oyeee !! Kidumu chama cha Mapinduzi , Samia Oyeee " Mwisho wa kunukuu .

Mara zote sisi tumeandikika humu na kwingine kwamba , Hawa mamluki wakiongozwa na Halima Mdee wamenunuliwa na ccm , lakini kuna Wajinga wanabisha , Sasa hiki kinachotokea ni nini ?

View attachment 2697806
Kassim Majaliwa anasemaje?
 
Hakuna Siri ya watu wawili.
Mmoja lazima atamwambia best wake na huyo best naye ana best wake.
 
Kutoka Singida Mmoja wa Wabunge wasio na chama waliotimuliwa Chadema kwa Tuhuma za Usaliti , Jessica Kishoa amefumwa kwenye Mkutano wa hadhara wa ccm , uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho , Bwana Chongolo .

Kishoa akihutubia mkutano huo wa hadhara wa ccm alianza na maneno haya , nanukuu " CCM oyeee !! Kidumu chama cha Mapinduzi , Samia Oyeee " Mwisho wa kunukuu .

Mara zote sisi tumeandikika humu na kwingine kwamba , Hawa mamluki wakiongozwa na Halima Mdee wamenunuliwa na ccm , lakini kuna Wajinga wanabisha , Sasa hiki kinachotokea ni nini ?

---
MBUNGE Viti Maalum, aliyefukuzwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Jesca Kishoa, ameibuka katika mkutano wa hadhara wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuwataka wananchi wameuunge mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, akisema anaiendesha nchi vizuri.

View attachment 2697806
Katelephone jipakulie kwa utuvu sasa hata tumbili kaissha pigwa chini! Huko mbogamboga hiyo mboga imemfuata katelephone
 
Back
Top Bottom