Mbunge Jesca Kishoa aliyefukuzwa CHADEMA, aibukia mkutano wa CCM na kuhutubia

Kutoka Singida Mmoja wa Wabunge wasio na chama waliotimuliwa Chadema kwa Tuhuma za Usaliti, Jessica Kishoa amefumwa kwenye Mkutano wa hadhara wa ccm , uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Bwana Chongolo .

Kishoa akihutubia mkutano huo wa hadhara wa ccm alianza na maneno haya , nanukuu " CCM oyeee. Kidumu chama cha Mapinduzi, Samia Oyeee" Mwisho wa kunukuu.

Mara zote sisi tumeandikika humu na kwingine kwamba, hawa mamluki wakiongozwa na Halima Mdee wamenunuliwa na ccm , lakini kuna Wajinga wanabisha, sasa hiki kinachotokea ni nini?

---
MBUNGE Viti Maalum, aliyefukuzwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Jesca Kishoa, ameibuka katika mkutano wa hadhara wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuwataka wananchi wameuunge mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, akisema anaiendesha nchi vizuri.

View attachment 2697806
Ex kafulila huyo.sema huyu dada anajipiga sana mkorogo
 
Huu uzi ni wa Mrs Kafulila wewe umekazana na mh Rais.

Acha Hizo bwashee!
Mnyalukolo, nani anawaweka hao wabunge wasio na chama bungeni? Unajua kuwa kwenye maridhiano kati ya Mbowe na Samia, walitaka kujenga moyo wa kuaminiana, na kufikia huko, Samia na Serikali walitakiwa kuondoa mambo yote yenye ukakasi na yaliyokuwa ya uonevu dhidi ya CHADEMA? Jambo mojawapo lililokuwa lenye ukakasi ni uwepo wa wabunge wasio na chama lakini serikali imewapa mwavuli wa CHADEMA kuingia bungeni.
 
Kutoka Singida Mmoja wa Wabunge wasio na chama waliotimuliwa Chadema kwa Tuhuma za Usaliti, Jessica Kishoa amefumwa kwenye Mkutano wa hadhara wa CCM, uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Bwana Chongolo.

Kishoa akihutubia mkutano huo wa hadhara wa ccm alianza na maneno haya, nanukuu " CCM oyeee. Kidumu chama cha Mapinduzi, Samia Oyeee" Mwisho wa kunukuu.

Mara zote sisi tumeandikika humu na kwingine kwamba, hawa mamluki wakiongozwa na Halima Mdee wamenunuliwa na ccm, lakini kuna Wajinga wanabisha, sasa hiki kinachotokea ni nini?

---
MBUNGE Viti Maalum, aliyefukuzwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Jesca Kishoa, ameibuka katika mkutano wa hadhara wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuwataka wananchi wameuunge mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, akisema anaiendesha nchi vizuri.

Siasa za Tanzania za sasa hicho ni kitu cha kawaida sana. Uliwahi tarajia Mkiti wa CCM wa Taifa anaweza ibukia kwenye Kingamano la Chadema na akahutubia? au Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa kwenda kuhutubia mkutano wa hadhara wa ACT zanzibar? Ni miujiza ya sasa ya Tanzania mpya.
 
Kishoa akihutubia mkutano huo wa hadhara wa ccm alianza na maneno haya, nanukuu " CCM oyeee. Kidumu chama cha Mapinduzi, Samia Oyeee" Mwisho wa kunukuu....

Utamfumaje mtu kwenye mkutano wa hadhara wewe? Hebu acha mambo yako🤣
 
Siasa za Tanzania za sasa hicho ni kitu cha kawaida sana. Uliwahi tarajia Mkiti wa CCM wa Taifa anaweza ibukia kwenye Kingamano la Chadema na akahutubia? au Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa kwenda kuhutubia mkutano wa hadhara wa ACT zanzibar? Ni miujiza ya sasa ya Tanzania mpya.
Wanasiasa ni sawa na meno ya mbwa ambayo kamwe hayatafunani.
 
Kutoka Singida Mmoja wa Wabunge wasio na chama waliotimuliwa Chadema kwa Tuhuma za Usaliti, Jessica Kishoa amefumwa kwenye Mkutano wa hadhara wa CCM, uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Bwana Chongolo.

Kishoa akihutubia mkutano huo wa hadhara wa ccm alianza na maneno haya, nanukuu " CCM oyeee. Kidumu chama cha Mapinduzi, Samia Oyeee" Mwisho wa kunukuu.

Mara zote sisi tumeandikika humu na kwingine kwamba, hawa mamluki wakiongozwa na Halima Mdee wamenunuliwa na ccm, lakini kuna Wajinga wanabisha, sasa hiki kinachotokea ni nini?

---
MBUNGE Viti Maalum, aliyefukuzwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Jesca Kishoa, ameibuka katika mkutano wa hadhara wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuwataka wananchi wameuunge mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, akisema anaiendesha nchi vizuri.

Hahaha. Unachezea kusaka tonge wewe. Nikikumbuka ile misemo ya Mchungaji Peter Msigwa kama vile "Problems cannot be solved by the same mind that created them" (akimnukuu Albert Einstein) nashangaa, maana kwa sasa (kama alivyotumia msemo huu ilikuwa kweli), then kwa sasa msemo wake unaweza kuwa "problems can be solved by the same mind that created them."
 
😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom