Mbunge Jesca Kishoa aliyefukuzwa CHADEMA, aibukia mkutano wa CCM na kuhutubia

Sasa pini kama hiyo inakaaje Chadema?.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwaka 2025 ni Kesho kutwa,
atagombea ubunge kwenye jimbo lipi na kwa ticket ya chama gani?

Kwa sura na afya yake kulima hataweza atafanya kazi gani?
 

Attachments

  • IMG_1465.MP4
    2.9 MB
Safi sana. Bora aende ccm chama cha wote .
 
hivi kuna haja gani kesi kuendelea kwa ushahidi huu ?
Kwani nyinyi chadema mnapohubiri uhuru wa mawazo na maamuzi binafsi, huwa munamaanisha nini kwaniii?? Au yeye kwenda kwenye mkutano wa ccm inatofauti gani na ile ya mbowe kupiga picha pamoja na mwenyekiti wa ccm yaan mheshimiwa raisi? Kumbukeni siasa sio uadui.
 
Kwahiyo mukuu unamaanisha mama ni munaaa mzuri tu 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…