Mbunge Jesca Kishoa aliyefukuzwa CHADEMA, aibukia mkutano wa CCM na kuhutubia

Ex kafulila huyo.sema huyu dada anajipiga sana mkorogo
 
Huu uzi ni wa Mrs Kafulila wewe umekazana na mh Rais.

Acha Hizo bwashee!
Mnyalukolo, nani anawaweka hao wabunge wasio na chama bungeni? Unajua kuwa kwenye maridhiano kati ya Mbowe na Samia, walitaka kujenga moyo wa kuaminiana, na kufikia huko, Samia na Serikali walitakiwa kuondoa mambo yote yenye ukakasi na yaliyokuwa ya uonevu dhidi ya CHADEMA? Jambo mojawapo lililokuwa lenye ukakasi ni uwepo wa wabunge wasio na chama lakini serikali imewapa mwavuli wa CHADEMA kuingia bungeni.
 
Siasa za Tanzania za sasa hicho ni kitu cha kawaida sana. Uliwahi tarajia Mkiti wa CCM wa Taifa anaweza ibukia kwenye Kingamano la Chadema na akahutubia? au Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa kwenda kuhutubia mkutano wa hadhara wa ACT zanzibar? Ni miujiza ya sasa ya Tanzania mpya.
 
Utamfumaje mtu kwenye mkutano wa hadhara wewe? Hebu acha mambo yako🀣
 
Wanasiasa ni sawa na meno ya mbwa ambayo kamwe hayatafunani.
 
Huyu dada, ndio maana Kafulila akaona isiwe taabu! Akamtunuku cheti(talaka)
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Hahaha. Unachezea kusaka tonge wewe. Nikikumbuka ile misemo ya Mchungaji Peter Msigwa kama vile "Problems cannot be solved by the same mind that created them" (akimnukuu Albert Einstein) nashangaa, maana kwa sasa (kama alivyotumia msemo huu ilikuwa kweli), then kwa sasa msemo wake unaweza kuwa "problems can be solved by the same mind that created them."
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…