Hawa wabunge na wenyewe wachunguzwe bongo zao,kwani wakibeti Huwa wanaenda kula kwa mbunge?je ni Kila mwanachuo anabeti?,mimi mwenyewe nabeti na bado nipo kazini na Nina mke na watoto na maisha yanaenda.viongozi machawa ndio mmeleta haya yote kazi yenu ni kulala bungeni na kushabikia mishahara mikubwa na posho ,hakuna la maana mnaweza kufikirika kwa ajili ya ustawi wa jamii zenu,watu Wana hali ngumu ,Kila siku mjini nakutana na mzee mmja wa makamu,ananiomba walau buku,hao wazee hawabeti Wala nini.kimsingi watu Wana matarajio mengi kutoka kwa viongozi wao.ni Bora wabeti ,ni Bora wabeti.Ni nyinyi wenyewe mliopitisha mambo hayo yakawa halali,mtu akishinda beti analipa na Kodi 18%