Mbunge Jesca Msambatavangu: Wanafunzi wanatumia Boom Kubeti badala ya Kusoma. Serikali itafute utaratibu mpya wa kuwakopesha

Hawa wabunge na wenyewe wachunguzwe bongo zao,kwani wakibeti Huwa wanaenda kula kwa mbunge?je ni Kila mwanachuo anabeti?,mimi mwenyewe nabeti na bado nipo kazini na Nina mke na watoto na maisha yanaenda.viongozi machawa ndio mmeleta haya yote kazi yenu ni kulala bungeni na kushabikia mishahara mikubwa na posho ,hakuna la maana mnaweza kufikirika kwa ajili ya ustawi wa jamii zenu,watu Wana hali ngumu ,Kila siku mjini nakutana na mzee mmja wa makamu,ananiomba walau buku,hao wazee hawabeti Wala nini.kimsingi watu Wana matarajio mengi kutoka kwa viongozi wao.ni Bora wabeti ,ni Bora wabeti.Ni nyinyi wenyewe mliopitisha mambo hayo yakawa halali,mtu akishinda beti analipa na Kodi 18%
 
Mkuu - Hawapangiwi matumizi, lengo la kupewa Mkopo ni kwa ajili ya kusoma. Sio Biashara wala kubeti - kama wanataka pesa ya ku-beti - wakakope Benki (NMB, CRDB etc)....
Aliyekwambia wakibeti hawasomi ni nani..?
 
Hao wanachuo wamekuwa watu wazima lini? Kweli unaona vile vi first year ni vijitu vizima vile!? wakati vingine bado vinakojoa kitandani ! vile bado vinahitaji kupangiwa bado vitoto.
Si ajabu hata kusoma hujasoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…