pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
std 7 tena la kuvizia kwa manati, ukanda na ukabila nao ndio unawatesa sana hawa wasukuma.Tusije tukawa tunamsikiliza layman aliyepata bahati ya kuwa bungeni kwa kusaidiwa na wizi wa kura!
Anafikiri maendeleo ya China yameletwa na Xi Jinping peke yake?