Mbunge Josephine Genzabuke, aishukuru Serikali ya CCM kwa kupata Mkopo wa Sh. Bilioni Laki Tatu

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Mbunge Viti Maalum, Josephine Genzabuke: Naomba niishukuru serikali ya CCM inayoongozwa na Jemedari, Mheshimiwa Rais, mama yetu Samia Suluhu kwa kufanikisha mkopo wenye Masharti nafuu kutoka benki ya maendeleo ya Afrika tukaweza kuahidiwa pesa dola za Kimarekani 140 sawa na shilingi laki tatu elfu ishirini na nne point nne Bilioni.

Na meza zikagongwa kushangilia, hivi anazijua pesa alizotaja! Trilioni 300 ni bajeti yetu ya miaka 10😱

Pia, Soma=> Orodha ya mikopo iliyokopwa awamu ya sita tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani March 19, 2021

Mbunge Viti Maalum, Josephine Genzabuke: Naomba niishukuru serikali ya CCM inayoongozwa na Jemedari, Mheshimiwa Rais, mama yetu Samia Suluhu kwa kufanikisha mkopo wenye Masharti nafuu kutoka benki ya maendeleo ya Afrika tukaweza kuahidiwa pesa dola za Kimarekani 140 sawa na shilingi laki tatu elfu ishirini na nne point nne Bilioni.

Na meza zikagongwa kushangilia, hivi anazijua pesa alizotaja!😱

KMMK wallah kodi inatumika vibaya sana!! Huyo hesabu zilimpiga chenga.
 
Mbunge Viti Maalum, Josephine Genzabuke: Naomba niishukuru serikali ya CCM inayoongozwa na Jemedari, Mheshimiwa Rais, mama yetu Samia Suluhu kwa kufanikisha mkopo wenye Masharti nafuu kutoka benki ya maendeleo ya Afrika tukaweza kuahidiwa pesa dola za Kimarekani 140 sawa na shilingi laki tatu elfu ishirini na nne point nne Bilioni.

Na meza zikagongwa kushangilia, hivi anazijua pesa alizotaja!😱

USD 140 = Tsh 324,400 Bilioni.

Hawa ndio wamepita bila kupingwa na ndio think tank wa THITHIEMU.
 
Vilaza na vilaza wenzao.
Saddam Hussein ni rais wa Kuwait!!
 
USD 140 = Tsh 324,400 Bilioni.

Hawa ndio wamepita bila kupingwa na ndio think tank wa THITHIEMU.
Nireteeen Gwajimaa,nireteeeniii Gwaaaajjjjiiiiimmmmaaaa,nireteeni Gwajiiiimaaaa!Akashindwa kumfufua!Maajabu ya CCM Mpya in mengi na hayaishi.
Tuanzishe Guinness Book of CCM records, itasaidia sana kukuza uchumi.
 
Bilion laki tatu inaandikwa hivi TSH 300,000 Bilioni- Sasa ukiandika kwa tarakimu tu badala ya neno bilion ongeza sifuri Tisa(9) ambayo sasa itakuwa hivi TSH 300, 000, 000,000,000/- ambayo ni sawa TSH 300 Trilioni.

Inakaribiana na trilioni za makinikia za mwendazake tulizokuwa tunawadai Barrick.

Kwa mawazo yangu yuko sahihi kumuenzi mwendazake
 
Duh sasa mbunge hata hajui kuwa pesa inaanza kutajwa namba kubwa halafu inafuata ndogo. Mwishowe wote tumevurugwa na hizo fedha alizotaja.

Wala haihitaji elimu kubwa kutambua kuwa huyu elimu yake ni darasa la 7 B.
 
Back
Top Bottom