Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbunge Viti Maalum, Josephine Genzabuke: Naomba niishukuru serikali ya CCM inayoongozwa na Jemedari, Mheshimiwa Rais, mama yetu Samia Suluhu kwa kufanikisha mkopo wenye Masharti nafuu kutoka benki ya maendeleo ya Afrika tukaweza kuahidiwa pesa dola za Kimarekani 140 sawa na shilingi laki tatu elfu ishirini na nne point nne Bilioni.
Na meza zikagongwa kushangilia, hivi anazijua pesa alizotaja!😱
Hapo hakuna bunge bali ni kundi la bundi wanaogawana mizoga.Mbunge Viti Maalum, Josephine Genzabuke: Naomba niishukuru serikali ya CCM inayoongozwa na Jemedari, Mheshimiwa Rais, mama yetu Samia Suluhu kwa kufanikisha mkopo wenye Masharti nafuu kutoka benki ya maendeleo ya Afrika tukaweza kuahidiwa pesa dola za Kimarekani 140 sawa na shilingi laki tatu elfu ishirini na nne point nne Bilioni.
Na meza zikagongwa kushangilia, hivi anazijua pesa alizotaja!😱
Yaani vilaza wale!!! Humu jamvini tuna akili kuwazidi!!! hawaoni kuwa huo ni mzigo mkubwa kwetu!!!!Na watu wanapiga makofi
Shetani chochea kuni hadi aive kama lava inayolipuka mlima wa Nyaligongo Kivu, DRC!Anazidi kukuchapa tu.....
Mungu pekee ndio anajua nani msafi
Ifike hatua tuibadilishe katiba yetu. Elimu haiepukiki kama ndo mwendo wenyewe huu wa wabunge.Halafu meza ya mwisho kwenye darasa hakuwa akimsikia mwl vizuri
Uko sahihi. Dola 140 million ni sawa na pesa walizojilipa watumishi wa wizara ya fedha posho za honorarium, vikao vya kutathimini athari za mazingira yaliyosababishwa na kimbunga Jobo na kufuatilia siku ya wanawake duniani na ya wafanyakazi duniani aka mei mosi! Ni peanut.😂😂😂😂😂 aieee raha sana duh!
yaani dola 140 si hata mi ningewapa!!
elimu inahitajika sana nchini
Marehemu alikuwa anawapenda watu wajinga, watu wa kumshangilia bila kuhoji, hata afanye ujinga wa kiwango gani.Hii ndio legacy ya Jiwe kwa watanzania kwani wabunge hawa ni zao la maelekezo yake.
Halafu eti nae anasimama bila aibu kutoa mchango wake kwa Taifa!! Na wakati huo huo wale wagonga meza nao walimpongeza. Hapo ndipo utajua ni Bunge la aina gani tulilo nalo.USD 140 = Tsh 324,400 Bilioni.
Hawa ndio wamepita bila kupingwa na ndio think tank wa THITHIEMU.