Yule alikuwa ni bingwa wa kukopa.Hii ndio legacy ya Jiwe kwa watanzania kwani wabunge hawa ni zao la maelekezo yake.
Pambana na walio hai mzimu wa JPM bado unakutesaHii ndio legacy ya Jiwe kwa watanzania kwani wabunge hawa ni zao la maelekezo yake.
Mbunge Viti Maalum, Josephine Genzabuke: Naomba niishukuru serikali ya CCM inayoongozwa na Jemedari, Mheshimiwa Rais, mama yetu Samia Suluhu kwa kufanikisha mkopo wenye Masharti nafuu kutoka benki ya maendeleo ya Afrika tukaweza kuahidiwa pesa dola za Kimarekani 140 sawa na shilingi laki tatu elfu ishirini na nne point nne Bilioni.
Na meza zikagongwa kushangilia, hivi anazijua pesa alizotaja!😱

Vilaza na vilaza wenzao.Mbunge Viti Maalum, Josephine Genzabuke: Naomba niishukuru serikali ya CCM inayoongozwa na Jemedari, Mheshimiwa Rais, mama yetu Samia Suluhu kwa kufanikisha mkopo wenye Masharti nafuu kutoka benki ya maendeleo ya Afrika tukaweza kuahidiwa pesa dola za Kimarekani 140 sawa na shilingi laki tatu elfu ishirini na nne point nne Bilioni.
Na meza zikagongwa kushangilia, hivi anazijua pesa alizotaja!😱
Nireteeen Gwajimaa,nireteeeniii Gwaaaajjjjiiiiimmmmaaaa,nireteeni Gwajiiiimaaaa!Akashindwa kumfufua!Maajabu ya CCM Mpya in mengi na hayaishi.USD 140 = Tsh 324,400 Bilioni.
Hawa ndio wamepita bila kupingwa na ndio think tank wa THITHIEMU.
Shetani huyo lazima asemwe hata kama ni marehemuPambana na walio hai mzimu wa JPM bado unakutesa
Anazidi kukuchapa tu.....Shetani huyo lazima asemwe hata kama ni marehemu