Mbunge: Kama CCM imejenga mahospitali, reli na yote inayosema kufanya, kulikoni kuogopa Tume Huru?

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,775
Reaction score
46,063
Mdogo mdogo mama anaendelea kufikiwa:

Your browser is not able to display this video.


Kwamba ni nani asiyeweza kuelewa umuhimu wa mwamuzi huru?

Ni Kailima, Mama, Muliro, Majaliwa au Tulia?

Hii nchi mbona ni yetu sote?
 
Mdogo mdogo mama anaendelea kufikiwa:

View attachment 3312598

Kwamba ni nani asiyeweza kuelewa umhimu wa mwamuzi huru?

Ni Kailima, Mama, Muliro, Majaliwa au Tulia?

Hii nchi mbona ni yetu sote?
Gentleman,
anaeogopa tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ni yule ambae anaogopa uchaguzi na hataki kabisa kushiriki uchaguzi mkuu na michakato ya kidemokrasia.

That's the point πŸ’
 
Gentleman,
anaeogopa tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ni yule ambae anaogopa uchaguzi na hataki kabisa kushiriki uchaguzi mkuu na michakato ya kidemokrasia.

That's the point πŸ’

Reforms si imo kwenye agenda zake? Kulikoni sasa kuwatia korokoroni wenye kudai reforms?

Anakwenda kufanya nini misikitini huyu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…