Mbunge: Kama CCM imejenga mahospitali, reli na yote inayosema kufanya, kulikoni kuogopa Tume Huru?

Mbunge: Kama CCM imejenga mahospitali, reli na yote inayosema kufanya, kulikoni kuogopa Tume Huru?

Hivi kweli refa wetu halafu unishinde hiyo mechi, baada ya huyo refa nilimpe mshahara wake kweli.Ni mtu mpumbavu tu anaweza kuamini.
eleza wadau bila mafumbo na bila mihemko gentleman,
itapendeza zaid šŸ’
 
Mapambano utapambana na nani? Yaani watanzania wanapenda kujipa moyo sana.Bado kuna kundi kubwa linaiunga mkono CCM ,pamoja na kuchakachua chaguzi ila bado asimia kubwa hasa vijijini huwaambii kitu juu ya CCM.kwa hiyo mapambano hayo kwa vyovyote ni magumu sana.Vyama vya upinzani haviwezi kuiondoa CCM madarakani kwa sababu watu wake walio wengi ni waoga na hawako tayari kwa kudai haki zao kwani bado CCM inanguvu mitaani na ukionekana kimbelembele unashughulikiwa mapema.Hivyo basi ni mpaka pale wananchi wote watakapo ungana bila kujali itikadi dini,ukabila,ukanda hapo ndipo mabadiliko yatapatikana ila kwa sasa watu tayari wameshajazwa hofu na woga ,pamoja nakukatishwa tamaa na hao wapinzani wenyewe.Ieleweke kuwa kuna kundi kubwa la watu siyo wanachama wa chama chochote hasa vijana.Hili kundi ndiyo remekuwa domant likiwa halina mrengo maalumu na hilo ndiyo rahisi kutishwa na kutishika.
Mnajidanganya sana,vijiji vya wapi hivyo vinavyounga mkono ccm? labda vijiji vya Dodoma na Tabora huko.
 
Back
Top Bottom