Relax and calm down,Muoga wa uchaguzi unamjua na hata nafsi yako inakuhakikishia kabisa umejiweka vimavi kichwani kwa muda.
calm down gentleman ikiwa huna point 🐒We nae ni hopeles flani hivi.
mropokaji mkiuka sheria yeyote ni muhimu akaswekwa korokoroni gentleman,Reforms si imo kwenye agenda zake? Kulikoni sasa kuwatia korokoroni wenye kudai reforms?
Anakwenda kufanya nini misikitini huyu?
Pumbavu zako wewe.mropokaji mkiuka sheria yeyote ni muhimu akaswekwa korokoroni gentleman,
reforms zilishafanyika,
anaeishi athari za kususia michakato ya reforms hawezi kusumbua waTanzania wanao songa mbele kwa ubinafsi wake 🐒
Aliyeanzisha huu ujinga ni mwendazake usijitoe ufahamu 2019 na 2020Huu uroho wa CCM umezidi kipimo awamu hii
Refa wa yanga mmemvalisha Jez ya mamelod mnasema ni neutralMbona tayari tuna tume huru , siku hizi inaitwa INEC ?
Alidhani Reform ni kumrudisha Lema na Lissu nyumbani, na kuongeza neno HURU kwenye jina la Tume na kuruhusu mikutano ambayo tayari ipo kwenye sheria.Mama alikuwa anatania bila shaka hawezi reforms
Hahahahah tume huru ya kubatizwa jina😂?Mbona tayari tuna tume huru , siku hizi inaitwa INEC ?
Hahaaa sheikh mwaipopo,,popoUkisikute yeye anajua kwenda msikitini ni fashion tu kama fashions zingine!😁
Jamaa alipotelea wapi vileMama amefikiwa ... na Lucas Mwashambwa
Hivi kweli refa wetu halafu unishinde hiyo mechi, baada ya huyo refa nilimpe mshahara wake kweli.Ni mtu mpumbavu tu anaweza kuamini.mropokaji mkiuka sheria yeyote ni muhimu akaswekwa korokoroni gentleman,
reforms zilishafanyika,
anaeishi athari za kususia michakato ya reforms hawezi kusumbua waTanzania wanao songa mbele kwa ubinafsi wake 🐒
Tumemsikia na kumuona Spika Tulia Mbunge wa Mbeya kwenye ukaguzi wa Barabara nne akilalamika Ucheleweshwaji wa UjenziMdogo mdogo mama anaendelea kufikiwa:
View attachment 3312598
Kwamba ni nani asiyeweza kuelewa umhimu wa mwamuzi huru?
Ni Kailima, Mama, Muliro, Majaliwa au Tulia?
Hii nchi mbona ni yetu sote?
Mapambano utapambana na nani? Yaani watanzania wanapenda kujipa moyo sana.Bado kuna kundi kubwa linaiunga mkono CCM ,pamoja na kuchakachua chaguzi ila bado asimia kubwa hasa vijijini huwaambii kitu juu ya CCM.kwa hiyo mapambano hayo kwa vyovyote ni magumu sana.Vyama vya upinzani haviwezi kuiondoa CCM madarakani kwa sababu watu wake walio wengi ni waoga na hawako tayari kwa kudai haki zao kwani bado CCM inanguvu mitaani na ukionekana kimbelembele unashughulikiwa mapema.Hivyo basi ni mpaka pale wananchi wote watakapo ungana bila kujali itikadi dini,ukabila,ukanda hapo ndipo mabadiliko yatapatikana ila kwa sasa watu tayari wameshajazwa hofu na woga ,pamoja nakukatishwa tamaa na hao wapinzani wenyewe.Ieleweke kuwa kuna kundi kubwa la watu siyo wanachama wa chama chochote hasa vijana.Hili kundi ndiyo remekuwa domant likiwa halina mrengo maalumu na hilo ndiyo rahisi kutishwa na kutishika.Kuna haja ya kuanza mapambano
TrinityMdogo mdogo mama anaendelea kufikiwa:
View attachment 3312598
Kwamba ni nani asiyeweza kuelewa umuhimu wa mwamuzi huru?
Ni Kailima, Mama, Muliro, Majaliwa au Tulia?
Hii nchi mbona ni yetu sote?
Mapambano utapambana na nani? Yaani watanzania wanapenda kujipa moyo sana.Bado kuna kundi kubwa linaiunga mkono CCM ,pamoja na kuchakachua chaguzi ila bado asimia kubwa hasa vijijini huwaambii kitu juu ya CCM.kwa hiyo mapambano hayo kwa vyovyote ni magumu sana.Vyama vya upinzani haviwezi kuiondoa CCM madarakani kwa sababu watu wake walio wengi ni waoga na hawako tayari kwa kudai haki zao kwani bado CCM inanguvu mitaani na ukionekana kimbelembele unashughulikiwa mapema.Hivyo basi ni mpaka pale wananchi wote watakapo ungana bila kujali itikadi dini,ukabila,ukanda hapo ndipo mabadiliko yatapatikana ila kwa sasa watu tayari wameshajazwa hofu na woga ,pamoja nakukatishwa tamaa na hao wapinzani wenyewe.Ieleweke kuwa kuna kundi kubwa la watu siyo wanachama wa chama chochote hasa vijana.Hili kundi ndiyo remekuwa domant likiwa halina mrengo maalumu na hilo ndiyo rahisi kutishwa na kutishika.