Mbunge, Kanoni: Fedha Tsh. Bilioni 200 za vijana zipelekwe wizara yao

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mbunge wa Kalambo, Edfonce Kanoni ameshauri fedha Tsh. Bilioni 200 za vijana zipelekwe wizara yao

"Hizi fedha bilioni 200 zimegawika katika wizara za kisekta, ninashauri Serikali fedha hizi zirudi katika Wizara ya Vijana ili Vijana wawe wanajua kwamba sisi fedha zetu zipo katika Wizara ya Vijana."

Soma: Wizara ya Vijana yaomba Tsh. Bilioni 35.9 kuimarisha Maendeleo ya Vijana 2026/27

Matapeli hayo. Hizo story za 200b kwenda kwa vijana nafananisha na ule utapeli wa 50m@kijiji. Baadae story zikaanza eti hizo hela zimeingizwa kwenye miradi inayoenda hadi vijijini.
 
Mjini mipango kaka.
 
Back
Top Bottom