Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Fadhili Liwaka, amesema kuna Wanasiasa wengine nchini wameichagua siasa kuyatia masikio ya vijana kauli zenye "maumivu", badala wajikite katika kutoa kauli za matumaini zinazolenga maendeleo.
Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Vijana...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amesema serikali inaendelea na utafiti wa kuanzisha Benki ya Vijana itakayolenga kutoa huduma za kifedha zinazokidhi mahitaji ya vijana Nchini.
Amesema hayo wakati akiwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara...
Mbunge wa Kalambo, Edfonce Kanoni ameshauri fedha Tsh. Bilioni 200 za vijana zipelekwe wizara yao
"Hizi fedha bilioni 200 zimegawika katika wizara za kisekta, ninashauri Serikali fedha hizi zirudi katika Wizara ya Vijana ili Vijana wawe wanajua kwamba sisi fedha zetu zipo katika Wizara ya...
Mbunge wa Jimbo la Ilemela, Kafiti William Kafiti, ametoa wito kwa Serikali kuongeza msisitizo katika sekta ya kilimo kupitia programu ya Building a Better Tomorrow (BBT) kama suluhisho la kudumu la ajira kwa vijana na kukuza pato la taifa.
Akichangia mjadala wa Bajeti ya Vijana bungeni, leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.