Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Matapeli hayo. Hizo story za 200b kwenda kwa vijana nafananisha na ule utapeli wa 50m@kijiji. Baadae story zikaanza eti hizo hela zimeingizwa kwenye miradi inayoenda hadi vijijini.Mbunge wa Kalambo, Edfonce Kanoni ameshauri fedha Tsh. Bilioni 200 za vijana zipelekwe wizara yao
"Hizi fedha bilioni 200 zimegawika katika wizara za kisekta, ninashauri Serikali fedha hizi zirudi katika Wizara ya Vijana ili Vijana wawe wanajua kwamba sisi fedha zetu zipo katika Wizara ya Vijana."
Soma: Wizara ya Vijana yaomba Tsh. Bilioni 35.9 kuimarisha Maendeleo ya Vijana 2026/27
Mjini mipango kaka.Matapeli hayo. Hizo story za 200b kwenda kwa vijana nafananisha na ule utapeli wa 50m@kijiji. Baadae story zikaanza eti hizo hela zimeingizwa kwenye miradi inayoenda hadi vijijini.
Ni kweli, ila utapeli si mipango.Mjini mipango kaka.
Kama mpanga mipango anaweza kufaulu jambo lake kwa njia ya utapeli, tegemea kuona utapeli.Ni kweli, ila utapeli si mipango.