GE2025 Mbunge Katani Ahmed: Tandahimba ya sasa barabara zinafanana na Doha, Qatar

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mbunge wa Tandahimba 2015 - 2025, Katani Ahmed Katani amesema maendeleo makubwa ya miundombinu katika jimbo lake yameifanya Tandahimba kufanana na miji ya kimataifa kama Doha, Qatar.

"Leo ukienda Tandahimba kuanzia saa moja jioni, chukua selfie, upige picha kwenye barabara za Doha, Qatar, halafu upite barabara za Tandahimba na uweke kwenye mtandao — huwezi kuona tofauti," alisema Katani.

Ameongeza kuwa Tandahimba mjini sasa ni miongoni mwa miji inayoongoza kwa taa za barabarani mkoani Mtwara. "Usiku ukipita barabarani mji wangu mimi sasa ni katika miji, ukienda mkoa wa Mtwara unaongoza kwa taa za barabarani. Unaokota mpaka sindano, huna sababu ya kutumia baiskeli na kuwasha taa, huna sababu ya kuendesha gari na kuwasha taa. Utawasha taa kwa sababu ni takwa la sheria za barabarani, ikifika saa 12 uwashe taa."

View attachment 3393494
Yuko sahihi maana mama ametandika lami kila mtaa kilaji Tanzania nzima.
 
6c353b45bd63cd2e4e685ac1f452a705.jpg
 
Mbunge wa Tandahimba 2015 - 2025, Katani Ahmed Katani amesema maendeleo makubwa ya miundombinu katika jimbo lake yameifanya Tandahimba kufanana na miji ya kimataifa kama Doha, Qatar.

"Leo ukienda Tandahimba kuanzia saa moja jioni, chukua selfie, upige picha kwenye barabara za Doha, Qatar, halafu upite barabara za Tandahimba na uweke kwenye mtandao — huwezi kuona tofauti," alisema Katani.

Ameongeza kuwa Tandahimba mjini sasa ni miongoni mwa miji inayoongoza kwa taa za barabarani mkoani Mtwara. "Usiku ukipita barabarani mji wangu mimi sasa ni katika miji, ukienda mkoa wa Mtwara unaongoza kwa taa za barabarani. Unaokota mpaka sindano, huna sababu ya kutumia baiskeli na kuwasha taa, huna sababu ya kuendesha gari na kuwasha taa. Utawasha taa kwa sababu ni takwa la sheria za barabarani, ikifika saa 12 uwashe taa."

View attachment 3393494
Kuna jinsi hawa watu wanawaona watanzania wajinga. Mimi nilikuwa Tandahimba a month ago nilienda nunua korosho aisee barabara ilikuwa mbaya kule.
 
Ndivyo wanavyolaghai watu wasiojitambua
 
Kwani shida yao ilikuwa ni taa za barabarani ? 😀
 
Kwa issue ya barabara na mataa anayo sema ni sure 100% kwa pale Tandahimba mji wamejitahidi,, lakini pia lami Tandahimba masasi,mtwara mkandatas yupo site
 
Kuna jinsi hawa watu wanawaona watanzania wajinga. Mimi nilikuwa Tandahimba a month ago nilienda nunua korosho aisee barabara ilikuwa mbaya kule.
Acha uongo!. ulikua Tandahimba uswekeni huko ,Nanjilinji!.. Katani yupo sahihi Tandahimba mji umenoga ,,nipo site ,,,naishi huku 10 yrs now,,,, hapo hajasema barabara ya Tandahimba -masasi na Tandahimba -Mtwara mkandatas yupo site inapigwa lami
 
Mimi nimekwenda Tandahimba huko korosho zinakozalishwa kwa wingi. Barabara zilikuwa mbaya. Nimekaa huko muda mrefu tu maana nilikuwa ninakusanya korosho. Hivyo barabara za tandahimba uliko wewe ni sawa na za Qatar mkuu au siyo?
 
Acha uongo!. ulikua Tandahimba uswekeni huko ,Nanjilinji!.. Katani yupo sahihi Tandahimba mji umenoga ,,nipo site ,,,naishi huku 10 yrs now,,,, hapo hajasema barabara ya Tandahimba -masasi na Tandahimba -Mtwara mkandatas yupo site inapigwa lami
Tandahimba - newala? Ameweka Lami?
Last time nilikua huko nahisi ilikua 2019
Nikitokea Mtama - Tandahimba
Kupitia Mtwara ndo sijawahi kumbe hamba lami
 
Acha uongo!. ulikua Tandahimba uswekeni huko ,Nanjilinji!.. Katani yupo sahihi Tandahimba mji umenoga ,,nipo site ,,,naishi huku 10 yrs now,,,, hapo hajasema barabara ya Tandahimba -masasi na Tandahimba -Mtwara mkandatas yupo site inapigwa lami
Tuwekee hata kapicha basi tukuunge mkono
 
Mbunge wa Tandahimba 2015 - 2025, Katani Ahmed Katani amesema maendeleo makubwa ya miundombinu katika jimbo lake yameifanya Tandahimba kufanana na miji ya kimataifa kama Doha, Qatar.

"Leo ukienda Tandahimba kuanzia saa moja jioni, chukua selfie, upige picha kwenye barabara za Doha, Qatar, halafu upite barabara za Tandahimba na uweke kwenye mtandao — huwezi kuona tofauti," alisema Katani.

Ameongeza kuwa Tandahimba mjini sasa ni miongoni mwa miji inayoongoza kwa taa za barabarani mkoani Mtwara. "Usiku ukipita barabarani mji wangu mimi sasa ni katika miji, ukienda mkoa wa Mtwara unaongoza kwa taa za barabarani. Unaokota mpaka sindano, huna sababu ya kutumia baiskeli na kuwasha taa, huna sababu ya kuendesha gari na kuwasha taa. Utawasha taa kwa sababu ni takwa la sheria za barabarani, ikifika saa 12 uwashe taa."

Mwanatandahimba aliyewahi kufika Doha ajitokeze.
 
Ukistaajabu ya kawe utayaona ya Tandahimba
 
Back
Top Bottom